Shukrani bro, japo katika jamii ni changamoto kuishi hivyo ila nakubali kuonekana ni mwenye dharau na majivuno kwa faida yangu.
Kwa mfano umealikwa kikao/mkutano watu wote wanakunywa soda mwenyewe tu ndiyo unakataa, kwenye ma birthday watu wanalishwa keki mwenyewe tu unakataa.
Kwa jamii yangu...
Mkuu mfundishe sasa kwa faida ya wengi, nashukuru nimefanikiwa kujizuia juu ya vinywaji vya viwandani kwa asilimia kubwa, kwa mwaka mzima sifikishi Lita 10 za hivi vinywaji (ukiacha maji)
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.