Recent content by MUHUNGUZI

  1. M

    JamiiForums Tanzania Jenerali: Magufuli aliiba uchaguzi kisha akaugawa

    Unaropoka utadhani unauhakika
  2. M

    JamiiForums Tanzania Nauliza swali NEC na Polisi kuhusu utekwaji wa wagombea wa upinzani katika chaguzi

    Kutekana na Tume wapi na wapi jamani pengine wagombea wenyewe wanahujumiana maana siasa ni mchezo mchafu wanafanya mambo ya hovyo halafu mtu anadhani ni Tume sidhani kama ni sahihi
  3. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Mwondoe Kigogo huyu Arusha

    Hayo ni majungu tu huyo kihamia ni kiongozi Bora sana fanyeni kazi acheni uchonganishi
  4. M

    JamiiForums Tanzania NEC yajipanga uchaguzi ujao kuaminiwa dunia nzima

    Sasa hamtaki uchaguzi mzuri zaidi mbeleni! Mnataka uchaguzi uwe vipi sasa maana yeye kasema anataka kuwe na uchaguzi wenye kuaminika hebu tuwape muda Nec wafanye kazi
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mbowe: CHADEMA hatutashiriki Uchaguzi Mkuu wa 2025 (bila Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi)

    Mbona bado mapema sana kuanza kulalamika wazee kama hamtashiriki uchaguzi wa 2025 si basi sasa mnataka tufanyeje
  6. M

    JamiiForums Tanzania Tungekuwa na Tume Huru, kuna mtu angekuwa anapiga magoti majukwaani hivi sasa

    Uhuru wa Tume upo wazi sana ila wanalalamika walio wengi hata kura hawapigi wao mitandao tu
  7. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu aijibu NEC kutishia baadhi ya wagombea "wanaohatarisha amani" kwenye kampeni zao

    Kenge mwenyewe soma sheria upate mjibu kama inaruhusiwa au la
  8. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu aijibu NEC kutishia baadhi ya wagombea "wanaohatarisha amani" kwenye kampeni zao

    Ibara ya 74(11) ya katiba ya jamhuri ya muungano ya mwaka 1977 katika kutekeleza majukumu ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi haitashinikizwa wala kulazimishwa kufuata ushauri wowote wa chama cha siasa au idara au mtu yoyote. Wagombea wasome katiba ya nchi yetu badala ya kuitisha Tume maana...
  9. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu aijibu NEC kutishia baadhi ya wagombea "wanaohatarisha amani" kwenye kampeni zao

    Halafu game ni dakika 90 unaacha kucheza mpira unamtisha refa ukifungwa kihalali je utamlaumu refa kuwa hakukupendela gangamala kunadi sera baba badala ya kulialia muda wote[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  10. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu aijibu NEC kutishia baadhi ya wagombea "wanaohatarisha amani" kwenye kampeni zao

    Ni vema wagombea wakaiacha Tume itekeleze majukumu yake kwa mujibu wa katiba na sheria bila kuitishia maana kuendelea kuwatishia ni kukiuka katiba na kuondoa uhuru wa Tume ambao muda wote tunataka Tume huru
  11. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu aijibu NEC kutishia baadhi ya wagombea "wanaohatarisha amani" kwenye kampeni zao

    Mkurugenzi alisisitiza umhimu wa kutunza amani kipindi hiki cha uchaguzi kuwa ni jukumu la wagombea wote sasa kuhamasisha kuvunja amani haiwezi kuwa ajenda ya chama chochote cha siasa na wananchi makini tukabariki tuilinde amani kwa nguvu zote maana hatuna nchi nyingine zaidi ya hii na amani...
  12. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu aijibu NEC kutishia baadhi ya wagombea "wanaohatarisha amani" kwenye kampeni zao

    Maadili ya uchaguzi yanataka anaelalamika kuhusu mwenendo wa kampeni kupeleka malalamiko katika kamati za Maadili ambazo zinaundwa kwa asilimia kubwa na vyama vya siasa vinavyo shiriki uchaguzi katika ngazi husika sasa kulalamika kwa wananchi hakutoi suluhu yoyote kinachotakiwa ni kupeleka...
  13. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 NEC: Wagombea muwe makini, tusilaumiane

    Jaza unavyojua wewe ili ukienguliwa na wenzio ulalamikie NEC
  14. M

    JamiiForums Tanzania Tume ya Uchaguzi tunaomba ufafanuzi kwenye hili

    Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom