Huo uchumi umekuwa kwenye makaratasi au mifukoni mwa watanzania? Mkuu! Hebu basi jaribu kujibu kwa ujenzi wa hoja siyo ushabiki ambao hauna afya sana.
Turumbane kwa hoja, na siyo kwa itikadi zetu za kisiasa.
Mkuu! Hivi Mandela namba yake huko kifungoni ilianza na Neno Mfungwa wa Kisiasa Na:......? Pia kwani chanzo cha hilo kosa linalosemekana alilitenda Bwana Sugu lilifanyika katika jukwaa la kisiasa au pahala pengine ambapo hapakuhusiana na mambo ya kisiasa?
Halafu mkuu, hivi mtu kweli kama kwa...
Mkuu! Ni vema kabla hujachangia fuatilia historia ya mtoa mada. Kiufupi huyu siyo mwanasiasa bali ni mtu tunayemtegemea sana katika mambo ya Anga humu Jamie forum, hivyo ukisema hayaoni mema na kumjumuisha kwenye kundi la unaowasema wanafurahia kuharibika kwa Bombardier ni kumkosea heshma...
Dah! Asante Mkuu mana awamu hii usipokuwa makini utalishwa matango pori mpaka ukomee. Sasa huyu Waziri alishatupoteza hapo as if hyo ndege ndo mara ya kwanza kutua na kujiona yeye ndo kama facilitator baada ya kupewa hiyo wizara.
Sawa! Ila huo uchumi wa Viwanda unajengwa na serikali au serikali inatengeneza mazingira wezeshi ili sekta binafsi ijenge hivyo viwanda?
Jibu kama serikali yenyewe inajenga hivyo viwanda nadhani utakuwa sahihi sana kumwambia mleta mada ana hoja nzuri japo imekuwa na upendeleo.
Ila kama Jibu...
Ngumu sana kukuelewa, mana hawasomi ulichoandika bali hupepesa macho tu kwenye andiko lako na hukurupuka ku comment. Tuwasamehe tu, mana wao wanajua tu kupepesa macho na kuandika.
Ni siasa gani waloifanya ktk Ucheshi wao wa jana? Hapana! Nilifuatilia lile igizo na hakukuwa na siasa yeyote zaidi ya kuleta ujumbe murua kwa jamii hasa kwa wazazi wapendao kuozesha mabinti wangali wadogo na wanaopaswa kuendelea na masomo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.