Kuna kitu hakiko sawa kwa IFM nzima na ujumla wake , kile chuo pale watoto wanalipa ada zaidi ya 1.7M kwa mwaka , utadhani private kuna mahali chuo kimekwama serikali ingilie kati watoto wapewa
Vyeti vyao
Sasa hivi Waanzibar wanakula mema ya nchi, imagine mama ameenda kutembelea France yuko na katibu mkuu wandamizi wa Zanzibar na Tanzania, mwinyi anaitengeneza Zanzibar mama anakamilisha, Wazanzibar wamelizika.
Habari za wakati huu wanajamvi, kwa muda mrefu nimekuwa nikijaribu kuangalia na kutazama mtifuano ambao umekuwa ukijitokeza mara kwa mara baina ya polisi na mahali wanapokuwapo viongozi wa chadema.
Tukilejea matukio machache kuanzia maandamano ya wanachadema mwaka 2012 jijini Arusha, uvamizi wa...
Mtu yeyote ambaye amewahi kufika kongwa na kupaona,kisha akaambiwa mbunge wao ni spika wa bunge wa Tanzania .hakuna mtu ambaye angekuwa anamulaumu mzee "chalaza fimbo" kwa jinsi anavyoliendesha bunge.shikamoo kongwa
Watalamu wa "procurement" kununua kwa single source sijui kama kuna shida, sijaona kama kuna ufisadi wowote uliolezwa umefanywa na TPA hapo labda mleta mada utupe maelezo zaidi.
Wakuu hapo juu kichwa cha habari chajieleza. Naomba msaada namna ya kupata line mpya kwa ajili ya kufanya biashara. Naomba kuelewa utaratibu upoje, pia kwa mtu anayeuza naomba bei na maelekezo mengine.
Asanteni sana.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.