Recent content by muhogomtamu

  1. muhogomtamu

    JamiiForums Tanzania Taasisi moja kuwa na watumishi walio ndugu wa damu zaidi ya mmoja

    Mkuu yapo haya! poteza muda kuchunguza
  2. muhogomtamu

    JamiiForums Tanzania Taasisi moja kuwa na watumishi walio ndugu wa damu zaidi ya mmoja

    Mimi nina hoja binafsi, kuna taasisi inakuwa na ndugu wa damu kabisa, wameajiriwa hapo, wanaweza kuwa wawili au hata watatu. Utakuta pia kuna Baba, Mama na Mtoto, au mke na mume n.k. Kwa maoni yangu, hali hii hufifisha sana utendaji, hata kama wote hao wanazo sifa. Nadhani busara itatumika...
  3. muhogomtamu

    JamiiForums Tanzania Inakuwaje Adam Malima kutetewa na Wakili Kibatala?

    Kwani tatizo liko wapi?
  4. muhogomtamu

    JamiiForums Tanzania Hii ndio (CV) Wasifu ya Nape Moses Nnauye

    wewe bila ugomvi husikii raha?
  5. muhogomtamu

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto ni kichefuchefu!

    ...hivi ni kwanini kila kitu hamkubaliani nacho?
  6. muhogomtamu

    JamiiForums Tanzania 'Ujinga' wa Ikulu unarudi kwa kasi

    huja2lia kabisa, teh teh teh teh teh
  7. muhogomtamu

    JamiiForums Tanzania Diplomatic Passports zote kwa wafanyakazi serikalini kurudishwa na marufuku kutumia VIP lounge

    ... walipoimba " wataisoma namba" walidhani nani wa kuisoma hiyo namba
  8. muhogomtamu

    JamiiForums Tanzania Rais Dk. John Magufuli kuhamia Dodoma

    Hili tumelisubiri sana litokee hapa Tanzania, kama ni kweli saaaaafi sana maana hata watendaji wengine watahamia Idodomya na Dar foleni zitapungua automatikali
  9. muhogomtamu

    JamiiForums Tanzania Nani anafaa kuwa Spika wa Bunge la 11 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?

    Leta list nyingine pengine nitaona, samahani kwa usumbufu lakini mleta hoja
  10. muhogomtamu

    JamiiForums Tanzania Mlolongo huu wa vyeo katika wizara moja tu ni kweli unahitajika?

    Acha maskhara bana?!?!?!?!?!? mbona wengi sana
  11. muhogomtamu

    JamiiForums Tanzania Wizara nane kufutwa, nyingine kuunganishwa

    Eti, Waziri wa nchi kazi maalum! Hii kazi maalum sijui huwa ni nini, maana wizara zingine zilikuwepo nyingi tu na mambo yote maalumu yalikuwepo, au kuna maalumu zipi zaidi ya ardhi, kilimo, ulinzi, usalama wa raia, maji, mifugo, uvuvi, jinsi na watoto, elimu , mazingira n.k Pengine mimi ndio...
  12. muhogomtamu

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amsimamisha kazi Mkurugenzi Muhimbili

    Una vimbwenga sana mkuu, teh teh teh teh teh..... umenisuuza sana
  13. muhogomtamu

    JamiiForums Tanzania Waandishi wa Habari mliokuwa Serena, Leo mmeumbuka na pesa za hongo zimewatokea puani

    shukurani mkuu kwa majibu mazuri
  14. muhogomtamu

    JamiiForums Tanzania Uteuzi wa Naibu Gavana wa BOT (Dk. Natu El- Maamry Mwamba) Una msaada gani kwa Jamii yetu kwa sasa?

    hebu naomba niulize, hivi ni lini mtapongeza uteuzi wa JK? maana kila uteuzi anaofanya, mara ooooh, udini, mara ooooh, rafiki yake, mara ooooh, analipa fadhila!!!! mnataka ateue kwa kuitisha mkutano wa hadhara wa maoni? mimi nashangaa sana, mniwie radhi
Back
Top Bottom