Recent content by MUHIZ

  1. M

    JamiiForums Tanzania USHAURI nisome Foundation Course Program au nimalizie Diploma ya Clinical Medicine?

    Unstoppable naomba unicheki 0787661973
  2. M

    JamiiForums Tanzania Transcript kutoka NACTVET ina Matumizi gani?

    Ahsante kwa ushauri mkulu ila chuo nilichosoma hawataki kuniombea cheti wanalazimisha nimalizie
  3. M

    JamiiForums Tanzania Transcript kutoka NACTVET ina Matumizi gani?

    Mimi ni mhitim wa kozi ya clinical assistant KUTOKA kwenye chuo flani hapa DAR nimefatilia transcript KUTOKA NACTVET na kufanikiwa kuipata hivyo napenda kujuzwa INA umuhim kwenye kuomba nafasi za kazi maana sehem nying wanahitaj vyeti na leseni.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa kusaidiwa kupata masomo

    Tuwasiliane huenda nikakusaidia.0787661973
  5. M

    JamiiForums Tanzania Msaada unahitajika

    Habar wanajukwaa, naomba kufahamishwa ikiwa marehemu ameacha watoto aliozaa na mama tofauti na ikatokea mmoja wa hao watoto aliachwa na baba akiwa bado anasoma. Je, Kwenye utaratibu Wa mirathi huyo mtoto atagawana sawa na wenzie au inakuaje? Naomba kuwasilisha.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa kuhusu uhamisho (transfers) katika Vyuo vya Afya vya Kati

    kutoka private kwenda gvt kozi ni clinical medicine diploma
  7. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa kuhusu uhamisho (transfers) katika Vyuo vya Afya vya Kati

    Habari za wakati huu wanajukwaa, Naomba nifahamishwe kuwa naweza kutoka college moja kuhamia nyingine baada ya kumaliza semester moja au ndio hadi nimalize mwaka? Nawasilisha.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kozi ya Diploma in Clinical Officer

    nenda city college of health and allied science
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kafaulu sana lakini kapangiwa shule haina maabara

    Lakini amepangiwa shule ambayo kiukweli kwa mjibu wa maelezo yake haina hata maabara na ndo imeanzishwa mwaka huu kwa maana wao ndo wanaanza na form five. [/SIZE][/FONT] ungethibitisha kwanza alichokwambia huyo dogo kuhus uwepo wa maabara ndo ungelikuja jf.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Muongozo na ushauri kwa wanafunzi udahili vyuo vikuu 2015/16

    CBG kusoma MD....?labda vyuo vya private au uwe umefaulu vizur BAM.kwa uhakika tafuta guidebook ya TCU.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Wapi nitapata kusoma certificate ya pharmacy

    acha kumpoteza mwnzio ndugu...kampala si kuna mgomo kwa wanafunz kada za afya?
  12. M

    JamiiForums Tanzania Wapi nitapata kusoma certificate ya pharmacy

    Nenda city college of health and allied science kipo tandika-DSM. Kwa maelezo zaidi tembelea www.ccohas.com
  13. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta chuo cha private nisome Ordinary Diploma ya Medical Officer

    Ingia: www.ccohas.ac.com
Back
Top Bottom