Recent content by Muhintiri

  1. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Jimbo la kwanza kwenda CHADEMA 2020 ni Singida Kaskazini

    Karibu Munyampaa Nyalandu
  2. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wale ambao Mama zetu wametangulia mbele ya haki

    Mama,sitaisahau 2013,pale kwenye kitanda Cha Muhimbili,asubuhi ile nilipokushuhudia ukimaliza mwendo wako hapa duniani,Kansa ya ubongo ikikuchukua tukingali tunakuhitaji. Sisi huku tuna janga la Corona ambalo hatujui mwisho itakuwaje.Endelea kupumzika kwa Amani Mamaangu.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Die empty

    Pamoja mkuu
  4. M

    JamiiForums Tanzania Die empty

    Munga Tehenani,daima nitamkumbuka,gazeti lake la Jitambue lilinifunza mengi Sana. Na hasa kutenda mema daima kunalipa.
Back
Top Bottom