...mfan mdog n jua la asubuhi(lile linalochomoza) wanasema sunrise na lile la jion(linalozama)sunset..hiki n moja kat ya k2 knachorudisha sn kinga ya mwili.. kila cku ktk maisha yako inatakiwa uamke asbh ulione jua linavyochomoza then upgwe na ule mwanga wake na jion ivyo ivyo ..hii kitu...
.... ukiambiwa tu unayo lazma upate stress, na hakuna k2 kbaya kinachoshusha kinga za mwil kama stress, hizi zinashusha kinga za mwil kuliko ata ukimwi wenyew,so unapojua unao ata km upo fresh unakula vzur matz kwasana ila stress lazma uwe nazo 2,utajiona dhaifu, upo tofaut na wengne, upo poa...
Tatz tunapgwa changa sana,kwakifupi ukimwi co ugonjwa ni upungufu wa kinga kama vle upungufu wa nguvu za kiume,upungufu c ugonjwa ww hapo ukipungukiwa na dam mwilin huo co ugonjwa inatakiwa uongezew mchezo uisho,.. km unapokua na mapungufu ya nguv za kiume inamaana huitaj dawa ila kufuata mfumo...
.. unapojuka kwny mabaya na mazuri io ndio nature ilivyo ni swala la nishat kama vle hasi na chanya,kila jema lina baya lake.. "a man is still a man ,the only difference is whether him good or evil". tupo kwny ushindan,sisi tupo katikati ya hizi nguvu mbili (good n evil) so,ili maisha yaendelee...
Mungu yupo kweli... ila sio mungu wa kwenye quran wala biblia, MUNGU yupo ndan yako, wewe ni sehem yake na huna haja yakwenda kumuomba mahali maalum ila popote wkt wowote.. tatz ata hao wanaokubali kuwa mungu yupo bado hawajamjua vzur wao kama wao ila wamekaririshwa.. haitakiwi ukaririshwe...
Tatizo la elimu ni kwamba yan wewe unasoma yale ambayo wenzako tayari anayajua na weng wao hayajawasaidia lolote(hususan ktk swala zima la ajira).note; akili ni ufunguo wa maisha na sio elimu
Chuga kupgana mabeto ni k2 cha kawaida hadi kuna baadhi yamaeneo wameweka vibao vya kisu af kimewekewa mstar kumaanisha io sehem hairuhusiw kuwa na beto(kisu)
NB:Nimeitoa kwa ufupi sana,nikipata muda nitawaeleza..walianzaje,ilikuaje hadi wakawa tabaka la chini na uislam uliwasaidiaje hadi kuinukia na kuwa himaya kubwa dunian.. kwakifupi zile story unazockia wayahudi walivyokua wakinyanyasika na kunyanyapaliwa uwa nahis story yao walikopy kwa hawa jamaa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.