Recent content by muhi

  1. M

    JamiiForums Tanzania Shura ya Maimamu Tanzania: Mlinzi Mwanamume wa Rais kuvaa Hijabu na kuingia Msikitini

    Ijmaai ya maulamaa wa kiislamu wanakubaliana juu ya uharamu wa kuswali wanaume na wanawake katika safu moja.
  2. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Riwaya: Yatima

    SEHEMU YA TANO ******""*************
  3. M

    JamiiForums Tanzania Peniela (Story ya kijasusi)

    Asante sana LEGE,lakini kiukweli ni bora stori ingeishia njia ningeashuum mwenyewe mwisho ambao utanifurahisha kuliko hivi ilivoishia,ila kwa ujumla stori ni tamu mno.
  4. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Riwaya: Yatima

    ****SEHEMU YA NNE**** MIAKA 10 ILIYOPITA. Moza alikuwa ameamka mapema sana kama kawaida yake, kwa lengo la kwenda kufungua biashara yake ya siku zote,biashara ya mama ntilie. Alipofika kwenye banda lake akashangaa kumuona mtu amelala kichakani pembeni kidogo ya banda lake,haikuwa jambo...
  5. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Riwaya: Yatima

    ****SEHEMU YA TATU**** Mamu baada ya kulikumbuka tukio lile ambalo lilipita kichwani mwake kama mkanda wa video,alijikuta amekuwa mwepesi sana. " itabidi niwasiliane na shangazi kama bibi alivokuwa akiwasiliana na shangazi,kwanza nimpe taarifa ya msiba wa bibi,maana hakuna mtu wa kumpa...
  6. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Riwaya: Yatima

    RIWAYA: YATIMA MTUNZI :RAJU NUHADAMU Simu : 0679296836 **SEHEMU YA KWANZA** Mamu alikuwa ni msichana mzuri wa sura,mzuri wa umbo,na pia alikuwa ni mzuri wa tabia. ******************** Alizaliwa katika familia ya kimaskini,alikuwa ni mtoto pekee katika familia hiyo,kwa bahati mbaya...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kwenda Hijja 2014 ni Dolla 4,400

    Ndio maana ukaambiwa,KWA MWENYE UWEZO.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Hivi vazi la ndani (chupi) lina umuhimu gani kiafya?

    Chupi ni pambo kwa kinadada,ila kwa wanaume ni ...........
  9. M

    JamiiForums Tanzania Just Imagine: utanunua kipi kati ya hivi?

    How to avoid death by nelson mandela.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Chemsha bongo

    Wageni kadhaa viti kadhaa.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Komesha kwa wizi wa nguo!

    chizi mmoja alikuwa kazungukwa na watu wakimsikiliza, chizi: mimi nashangaa kuona mtu anaibiwa nguo. watu: sasa tufanyeje ili tusiibiwe nguo. chizi.: ukitaka usiibiwe nguo njia ni rahisi tu. watu.:njia ipi? chizi: vaa nguo zote!!!!!!!
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mwezi mwandamo!

    NI STORI YA KWELI ILITOKEA MIAKA YA NYUMA SANA watu walikuwa wakiangalia mwezi mwandamo kwa ajili ya mfungo wa ramadhani,vijana kwa wazee. mara mzee mmoja aliyekuwa anakaribia miaka mia akasikika akisema, "mwezi ule pale nimeuona" watu, "ukowapi mzee mbona hatuuoni?" mzee, "ule pale...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Wasomi mpo?

    Hahaha,hao ndio wasomi wa bongo,ni wavivu wa kufkiria,wao wanategemea walichokremu tu!!!!!!
  14. M

    JamiiForums Tanzania Maswali ya kijinga na majibu ya hasira. Ongeza na ya kwako

    jamaa anakuona umeinamia gazeti unasoma,anakuuliza,"unasoma?"...... hapana nasomesha.
  15. M

    JamiiForums Tanzania Wizi mkubwa Tanzania

    Chezea tz wewe!!!!
Back
Top Bottom