Tatizo hapa ni vijana wengi kuzama kwenye kilevi cha ngono zembe, na hasara zake ni kubwa
1. Akili kudumaa
2. Maradhi
3. Upotevu wa malezi sahihi kwa watoto
4. Kulega kwa ndoa
5. Kudorora kwa maendeleo ya mtu mmoja mmoja, familia mpaka taifa.
Hayo ni baadhi yake, swali ni je tunaweza vipi...
Hii inatuhusu vijana wengi tulio kwenye ndoa na tunaotarajia.
Wengi wetu tumekuwa wa kwanza kupoteza heshima ama kutoziheshimu NDOA zetu pia ata na wenza wetu.
Hivi ni yupi kati yetu anayeweza kustahamili Ubaya uleule tunaowafanyia kisha kufanyiwa wewe.
Kijana mwenzangu JAMBO...
Kipindi unafanya yote haya familia yako imejitosheleza ama ndugu ama wazazi....? Ndo maana nasema umasikin kwa maana unaakisi pengi, pesayoivuruga hvyo leo iliwezekana ukampa support ndugu kibiashara...
Kama wew ni mfugaji wa kuku na unahangaika wadudu waitwao utitiri, basi suluhu ya jambo hili jepesi isiyokuwa na gharama.
Ni jivu la moto iwe la mkaa au kuni.
Namna ya kutumia waweza kulimwaga chumba ama banda lote pale unapomaliza unapofagia kila siku mpaka hali itakata yenyewe.
Hakuna pesa isiyokuwa na mipango ndugu, unadhani hata kama unapata net income 1m kwenye chakula, mavazi na malazi ukisema upate yote haya kwa inavyostahiki itatosha..tukubali Zinaa ndo tatizo
Zama za sasa kumekuwa na Watoto wengi wa nje ya Ndoa, Kukithiri kwa MARADHI na hata UMASKINI.
Sababu ya haya yote ni kukithiri kwa ZINAA.
Kama unapinga pinga kwa hoja.
Nianze kwa salam wana ndugu.
Ugeni wangu uwe sababu ya kupata fikra na changamoto mpya na kushirikiana kwa wema na hata ninapoteleza bas na tusamehane.
Nimalizie na ya kwamba tupo pamoja katika namna ya kupeana chakula cha fikra.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.