pole sana kanisa katoliki linautaratibu wake, waliotengwa hawajazuiwa kwenda sehemu yoyote ya ibada ila si katoliki, kama wanafikili kanisa katoliki linahitaji wingi wa watu kujaa katika makanisa yake wamepotea, linahitaji wafasi wanaofata utaratibu, na linamisimamo yake. narudia tena halihitaji...