Recent content by mugulinde

  1. mugulinde

    Andrew Chenge achukua fomu ya kugombea Uspika. Fahamu kuhusu wasifu wake

    Huyu ni spika tayari anayesubiri kuapishwa.
  2. mugulinde

    Mbowe akifungwa CHADEMA inakufa?

    CHADEMA ni sawa na maji lazima uyaoge.
  3. mugulinde

    Maono ya Karatasi nyeupe ya siri itakayofunguliwa 2025

    Huyu jamaa ni mpakwa mafuta, nyuzi zake hapa zinaujumbe mzito mimi natunza hii nyuzi tutarejea hapa.
  4. mugulinde

    Kila nikijaribu ninashindwa kumsamehe Tundu Lissu

    Tundu Lissu ni brain kubwa, ukimuelewa huchoki kumsikiliza. Watu kama Lissu Mataifa mengine yanawekeza fedha nyingi sana kwa masilahi mapana ya Taifa, sisi tunaendekeza siasa.
  5. mugulinde

    Sijawahi yaelewa kabisa madirisha ya aluminium, yamekaa kifakefake sana

    Pole Sana, nini kifanyike kukabiliana na hao wahuni?
  6. mugulinde

    Tuwe wakweli Lissu ni mwanasiasa, ujasiri wake sio wa nchi hii

    Tundu Lissu ni mwamba katika miamba yote, yuko vizuri sana, ni mwanasiasa jasiri na hii nchi inampenda ndiyo maana damu yake ilimwagika na hakufa ili ashuhudie ukuu wa Mungu.
  7. mugulinde

    Nahitaji Mafundi wa Kufanya Skimming, kupiga rangi, kuweka Tiles, na gypsum

    Ubora wa kazi ni tiba kamili, walizingua sana nikashusha mbao zao zote chini nikanunua material mengine ndo kama ulivyoona hapo[emoji16]
  8. mugulinde

    Mkeka unakuja wa kuwaondoa Mawaziri nonsense kwenye Serikali ya Samia

    Wizara ya viwanda na biashara wameshindwa kabisa.
  9. mugulinde

    Sijawahi yaelewa kabisa madirisha ya aluminium, yamekaa kifakefake sana

    Hivi haya madirisha ya Alluminium wanatengeneza na kuweka wavu wakuzuia mmbu ?
  10. mugulinde

    Unapataje hesabu ya kumlipa fundi tiles?

    Yani ni kazi kweli, pambana tu
  11. mugulinde

    Unapataje hesabu ya kumlipa fundi tiles?

    Tena muongozo uliotukuka kabisa, naendelea kujifunza mengi kwenye finishing siyo mchezo, ila mafundi wengi ni madalali, anachukua kazi kwa mbwembwe kwamba anajua kupiga tiles kumbe hamna kitu, matokeo yake analeta fundi tiles na yeye anabaki kuzugazuga tu.
  12. mugulinde

    Unapataje hesabu ya kumlipa fundi tiles?

    Asante Sana ndugu yangu, hii option ya 25% ya material cost ni fair kabisa.
  13. mugulinde

    Swali Fyatu: Furaha Kwishnei?

    Kiwango chako cha kupambanua mambo kimeshuka sana. Umeingiliwa kwenye ubongo unaelekezwa nini cha kuleta humu!
  14. mugulinde

    Jakaya aliamini meza akaweza, Magufuli akaamini chuma akafeli. Samia anaamini jela?

    Uchambuzi kama huu uwe unahifadhiwa ili siku moja ukiwa umevurugwa unafungua ukurasa unasoma akili inatulia. Hongera sana Yeriko Nyerere kwa bandiko safi.
  15. mugulinde

    Waziri wa Kilimo Profesa Mkenda, unataka Rais Samia akubebeje?

    Kilimo ni muhimu sana katika uchumi wa viwanda, ukishindwa kuwekeza kwenye kilimo Taifa linaanguka, linakuwa ombaomba. Swala la mbolea siyo la Mkenda ni swala zima la nchi na mamlaka zake zote kuipa nguvu wizara ya kilimo ili Taifa lipone. Sent from my Redmi Note 3 using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom