Recent content by mugloka

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mkanda wa jeshi (Herpes zoster/ shingles) fahamu kuhusu dalili na tiba yake

    Asante sana.Nimekupata MziziMkavu
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mkanda wa jeshi (Herpes zoster/ shingles) fahamu kuhusu dalili na tiba yake

    Unakula kitunguu saumu kizima kabisa au punje mzizi mkavu? Je unakitafuna au ni kama hiyo njia ulioleza mwanzo?
  3. M

    JamiiForums Tanzania Nahitaji samsung galaxy s2

    Bora hata ungesema 450000! Ujue hata kama umeishaitumia lakini ukilinganisha na hela uliyonunulia kuuza bei kama hii inaumaa!
  4. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania natafuta mwanamke tasa wa kuoa

    Hivi jamani miaka 39 na 40 ni mzee! Duh Hujui miaka hiyo ni mke wa mtu mbichi kabisa
  5. M

    JamiiForums Tanzania Tigopesa na mpesa

    Naombeni mnisaidie kwa hili jamani, hivi ukiwa wakala unapataje faida? Nipeni somo sifahamu na ningependa kujaribu hiyo biashara
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mtikila: Kagame amepenyeza Wanyarwanda 35,000 Tanzania, Burigi, katika Wilaya ya Muleba

    Jishughulishe na wewe upate chako! siyo upate uchungu kwa ajili ya jasho la mwenzio @ Leomimi
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mtikila: Kagame amepenyeza Wanyarwanda 35,000 Tanzania, Burigi, katika Wilaya ya Muleba

    Muache wivu na majungu wabongo! Majengo na mali zao walizowekeza ndiyo vinakufanya useme wafukuzwe! Huna lolote kalime tu kama una machungu.Hivi wakiacha hizo mali zao utazirithi wewe?
  8. M

    JamiiForums Tanzania Picha: Aunt Ezekiel apasuliwa na chupa kwa kugombea bwana

    Duh pole yake. Yote hiyo mwanamme tu!
  9. M

    JamiiForums Tanzania JamiiForums android app imeboreshwa!

    Hii ilikuwa kero mpaka nikaamua ku uninstall.Bora kama imerekebishwa.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Angalia Picha MAJAMBAZI 3 WAKAMATWA NA POLISI BARABARA YA MANDELA BAADA YA KUIBA PESA

    Hongera jeshi la polisi.Ujambazi dar ni janga haswaa!
Back
Top Bottom