Recent content by mugishakaiza

  1. mugishakaiza

    JamiiForums Tanzania Kama ni kweli Mungu ipitishie Yanga sc mbali

    nyokoo
  2. mugishakaiza

    JamiiForums Tanzania Gari, biashara na nyumba bora kipi?

    18m kwa ujenz ndogo make msing wa nyumba ya kawaida nzur ni 5m si lazma ujenge nyumba nzima hiyo ndo
  3. mugishakaiza

    JamiiForums Tanzania Gari, biashara na nyumba bora kipi?

    kama haupo tena na hajira fanya biashara kama bado upo na ajira jenga nyumba na kama biashara usiingize pesa yote anza na 5m soma biashara
  4. mugishakaiza

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Rwanda limekuwa likijipanga mpakani, Ndiyo maana Prof Mwandosya alienda kuonana na PK

    kiiza sema ulikuwa kwenu rwanda na nyie ndo mnamuongopea kagame hao uganda mbinu za kivita na hamri waambia wanatumia za tz
  5. mugishakaiza

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Rwanda limekuwa likijipanga mpakani, Ndiyo maana Prof Mwandosya alienda kuonana na PK

    vita mbaya hila mwanzo wa chokocho ni nn kama sio mh kikwete kumshauri vzr pk? toka hapo do!
  6. mugishakaiza

    JamiiForums Tanzania Kagame adaiwa kupandikiza makachero nchini kuipeleleza Serikali… mbunge atajwa kuhusika!

    ludovic ww mtusi pia unabisha?
  7. mugishakaiza

    JamiiForums Tanzania Kagame adaiwa kupandikiza makachero nchini kuipeleleza Serikali… mbunge atajwa kuhusika!

    kagame andharau sana tz anasahau msaada wa tz kwa nchi ya rwanda na kwaa afrika mashariki kwa ujumla ss watanzania lazimaa tujadili swala la kagame kuibeza tz kila kukicha anayepinga hili anamtindio wa akiri kwa sababu wazi wazi huyu mtu yy anajiona yy ndo yuko sahihi jambo ambalo si kweli...
  8. mugishakaiza

    JamiiForums Tanzania Kagame adaiwa kupandikiza makachero nchini kuipeleleza Serikali… mbunge atajwa kuhusika!

    kagame ni mchokozi hilo ni kweli pia tanzania inahifadhi wanyarwanda wengi na wengine wapo ktk secta nyeti tukiangalia vibaya hawa watu wataiponza tanzania kwa upande wa kagame aangalie vizuri maana akiendelea na chokochoko tutampiga alafu wahutu watatumia hiyo nafasi nimesoma na watusi hawa...
  9. mugishakaiza

    JamiiForums Tanzania Rais kutotangaza mawaziri ni dhahiri nchi bila mawaziri inaenda bila hata rais asipokuwepo.

    da! wadau mnaona mambo sana nawapongeza sana
Back
Top Bottom