Kagame adaiwa kupandikiza makachero nchini kuipeleleza Serikali… mbunge atajwa kuhusika!

Nilishasema humu, mijadala hii ya kumsifia KAGAME humu JF na wafuasi wa CHADEMA lazima kungekuwa na watu kutoka nchini wako nyuma ya Sakata hili. na nadhani ndiyo maana Rais katoa tamko kule DODOMA.

Naungana na Mtikila kuwa KAGAME achapwe ili tujue huyo Mbunge aliyekwenda kuchukua harambee huko RWANDA.

mbunge anajulikana issue sasa ni lazima ashughulikiwe, watanzania tukome kuwaamini wahamiaji haramu manyangau
 
Achen kuchochea Kagame ni mtu mzuri.tatizo moja tu hapendi demokrasia ila ni mchapa kazi hodari.

tangu lini PAKA kawa mchapa kazi hodari? huyu ni fedhuli mkubwa yupo tayari kwa lolote kwa ajili ya familia yake na nyie watusi wenzake, siku zenu zinahesabiki ni zaid ya mnayojisifia kukumbana nayo 1994, wahutu walifanya kosa sana kutowafutilieni mbali kizazi haramu nyie.
 
JK asijeakakosea kutangaza vita na Rwanda. Hapa Tz katangaza vita kat ya CCM na Wapinzani, unafikiri wakati wa vita wapinzani wataungana na nani ? Jibu mwenyewe.
 
Kagame ni mgonjwa wa akili. Kama mtakumbuka vizuri, kuna makala moja iliwahi kuwekwa humu muda mrefu,(sisi wakongwe wa JF) tunakumbuka sana kwamba PK ana matatizo ya ki psycho, na alikuwa anamtuna dozi za vidonge dada yake tu kwenda nje ya nchi kumchukulia dawa. Na walisema kuna stage ikifika huwa anatamani kuona damu ya mtu ikimwagika mbele yake ndio atulie! Huyu si wa kumchekea hata kidogo! Na huyo mbunge tutamjua tu!
 
JK asijeakakosea kutangaza vita na Rwanda. Hapa Tz katangaza vita kat ya CCM na Wapinzani, unafikiri wakati wa vita wapinzani wataungana na nani ? Jibu mwenyewe.

chadema waache waungane naye, wala hawatusumbui, mbona mbunge wenu anapiga harambee huko! Hatutishiki.
 
PK fidodido ni War monger lakini kwa Tanzania haweziku infiltrate hata kidogo
 
Ni mapema kuwalaumu usalama wa taifa kwa vile hatujui kama taarifa hizi zimetoka kwao. Inawezekana ni Usalama wa Taifa ndiyo wamegundua janja hii ya Tanzania kuhujumiwa na wanasiasa.

HAWAWEZI, usalala Wa taifa wapo kwa ajili ya kuwagawa watanzania, kudhibiti upinzani na kuandaa na kueneza propaganda za chama tawala.
 
Mimi nilishaeleza mpango mzima wa hawa wanyarwanda si watu wazuri hasa kwa sisi ambao tuko nao karibu na tunaishinao(maeneo ya mpakani -kagera) hawa jamaa wanamajivuno sana na wana mipango mingi sana ya kuangamiza nchi yetu kwa sababu za sisi kutokuwa wazalendo na kutajali ktk mambo ya msingi ukiangalia kwa sasa hasa ktk taasisi za umma hawa wanyarwanda wameshikilia nafasi kubwa sana na kubwa zaidi tunawafahamu na tuna kula nao na kucheka nao mfano mzuri kuna mwenyekiti wa ccm mkoa mmoja ni mnyarwanda,ofisi RC kuna wanyarwanda,kwenye halmashauri zetu ndio usiseme na tunawajua, ila tuko tunalalamika kumbe wenzetu wanatujua sana kuliko sisi tunavyowajua
 
Jamani eeh mbona kila siku kumuonea mzee PK. Au ndo mnamtafutia sababu mumchape? Acheni umbeya PK PK jengeni nchi. Pumbafu!
 
kagame ni mchokozi hilo ni kweli pia tanzania inahifadhi wanyarwanda wengi na wengine wapo ktk secta nyeti tukiangalia vibaya hawa watu wataiponza tanzania kwa upande wa kagame aangalie vizuri maana akiendelea na chokochoko tutampiga alafu wahutu watatumia hiyo nafasi nimesoma na watusi hawa watu sio watu wazuri watakibagua hata kama wapo nchini mwako
 
Kwanini tuingize nchi katika Vita,alafu gharama abebe masikini....maneno yanatuumiza nini

Hapana hatupigani nauliza tu! Maana inaonekana hataki ujirani mwema . kama kuna tatizo unamwita jirani mnajadili kuliko maneno ya kujenga uadui. Vita hapana!
 
Huo ni ubaguzi and i wonder kama una elimu wewe,unajua maana ya expatriate? Hata watanzania wapo wengi wanaofanya kazi nje ya nchi we kaa tu vijiweni.

Mimi nilishaeleza mpango mzima wa hawa wanyarwanda si watu wazuri hasa kwa sisi ambao tuko nao karibu na tunaishinao(maeneo ya mpakani -kagera) hawa jamaa wanamajivuno sana na wana mipango mingi sana ya kuangamiza nchi yetu kwa sababu za sisi kutokuwa wazalendo na kutajali ktk mambo ya msingi ukiangalia kwa sasa hasa ktk taasisi za umma hawa wanyarwanda wameshikilia nafasi kubwa sana na kubwa zaidi tunawafahamu na tuna kula nao na kucheka nao mfano mzuri kuna mwenyekiti wa ccm mkoa mmoja ni mnyarwanda,ofisi RC kuna wanyarwanda,kwenye halmashauri zetu ndio usiseme na tunawajua, ila tuko tunalalamika kumbe wenzetu wanatujua sana kuliko sisi tunavyowajua
 
kagame andharau sana tz anasahau msaada wa tz kwa nchi ya rwanda na kwaa afrika mashariki kwa ujumla ss watanzania lazimaa tujadili swala la kagame kuibeza tz kila kukicha anayepinga hili anamtindio wa akiri kwa sababu wazi wazi huyu mtu yy anajiona yy ndo yuko sahihi jambo ambalo si kweli narudia nimesoma na watusi primary na kuishi nao wabaguzi wanajiona wao ndo wao lakin wajue tz baba lao hata utawala wa uganda una historia kuhusu tz rwanda pia utawala wao uliopo madarakani umepata baadhi ya viongozi walio soma kwa kodi za watanzania
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom