Recent content by Muger

  1. Muger

    TRA, accused to be the most brutal authority in the modern history of our country!

    Samahani katika income tax kuna mtu kaelezea vzur hapo juu hila kwa kawaid unapofanya biashara flan, unapojiwa au unawekeza sehemu kwa matarjio ya faida ndo inazaa neno Income tax
  2. Muger

    TRA, accused to be the most brutal authority in the modern history of our country!

    Income tax ni Direct tax na VAT ni indirect Tax Income tax anailipa tu yule mwajiriwa mwenye mkataba na mwajiRi anayetoa huduma ya kuifundi au nyingineyo na hyo kodi ulipwa moja kwa moja na mwajiri wako ndo maana ikaitwa "Direct Taxes" na VAT ulipwa katika ongezeko ya thamani ya Bidhaat katika...
  3. Muger

    TRA, accused to be the most brutal authority in the modern history of our country!

    Ni wito tu kwa wafanya Biashara kuyajua Mazingira ya Biashara vizuri baada ya kuupata "Mtaji" ambao ni lengo mama la kusimamisha Biashara husika. Kodi ni "Sanaa"inayokuitaji wewe mfanyabiasha kujua ni kipi na nini mbeleni inatakiwa nifanye. kwa mfanyabiashara yyte yakupasa kujua ni kodi ngapi...
  4. Muger

    TRA, accused to be the most brutal authority in the modern history of our country!

    Mfanyabiashara wa kariakoo analipa pesa kiduchu sana hata kutolipa kabisa ukilinganisha na mwajiriwa anayelipwa laki 6 kwa mwezi. Umeongelea tu PAYE Umesahau na statutory ded. ambazo kwa kipnd hikI ni ngumu sana ku retain hicho kiasi mfano Pension Funds.
  5. Muger

    TRA, accused to be the most brutal authority in the modern history of our country!

    Kuna watu wanacheza na EFD Mashine ama kwa kujua au kutojua ambapo kila siku Z Report inatumwa kila siku kwenda TRA. unakuta Receipt ina thamani ya Tsh 10001500/= kumbe mfanyaBiashara alikusudia ts& 1000/ na Tsh 1500/ na kibaya zaidi Hakufahamu mistake hii na Receipt hakuitunza wala hakutuma...
  6. Muger

    TRA, accused to be the most brutal authority in the modern history of our country!

    EFD zina level. Anayotumia Bakheresa na mimi ni tofauti kidogo . Kwa wateja walio qulify kupata VRN ndo wenye uwezo tu wa ku claims gharama . Na kwa wafanyabiasha wadogo wasioweza kufikisha mauzo ya Tsh 100M au 60M ndani ya Miez sita EFD kwao zihatumika kama benchmark ya makadilio ya kodi yake...
  7. Muger

    TRA, accused to be the most brutal authority in the modern history of our country!

    Una weza kureverse estimate baada ya kudai makadilio ya chini kulingana na Bei husika ambayo ni CIF. Kabla ujafanya Biashara tajwa ni pendekezo kuwaona Tax Consultant Sent from my TECNO-C7 using JamiiForums mobile app
  8. Muger

    TRA, accused to be the most brutal authority in the modern history of our country!

    Kuanzia mwenye mtaji wa Tsh 5,000,000/= ntafuta consultant wa issue za kodi la sivyo utalia sana. Usione tabu kumlipa mtu Tsh 70,000/= kwa Mwezi hila kidogo kidogo asaidie swala zima la kodi. Sheria za Kodi zipo wazi hila mfanyabiashara wa kawaida ni ngumu kuzitafsiri na kuchakata kila kitu...
  9. Muger

    Mere prediction about the future: Yajayo yanafurahisha, upo tayari?

    We ndo yule kijana unaye wa himiza vijana kufanya Biashara ya ForeX. Basi kama ni wewe basi hamna shida, leta uzi mwingine. Na nyie wa mliojiunga Forex mtaendelea kufurahia siku hadi siku.
  10. Muger

    Haya are the most intelligent people in Africa (Eastward) followed by Kikuyu in Kenya

    Huyo Almachus Kahwa alikuwa bright tena mpole mpole hv nimesoma nae O level, Jamaa wa kawaida ukimtizama lakini ni mTu mmoja Bright ukikubali kuongea nae lugha ya kisoma na kuFanya evaluation ya vitu sensitivity. Na atakuwa alikuchanganya kwa sababu sio msomaji sana kama wewe hila tambua hapo...
  11. Muger

    Haya are the most intelligent people in Africa (Eastward) followed by Kikuyu in Kenya

    Nani kakuambia muhaya serious na shule 100% akasomea Bukoba Mjini zile shule za pale ni KwA ajili ya kwenu ninyi
  12. Muger

    Ipi Gari bora kati ya T Harrier,Escudo na RaV4 or RAVj?

    Bro we nunua tu Canter itakufaa sana. Ndani ya miaka 2 utapata gari nyingine kupitia Canter endapo ukiwa unafanya Saving.
  13. Muger

    Kuepusha maumivu nimeamua nami sasa niwe mhuni na malaya tu...

    Ishi maisha yko Mungu ana makusudi katika kila Jambo Njia utakayoichagua ni mbaya kuliko unavyofikiri wewe. Wanawake wazuri wa tabia ni wengi kuliko unavyofikiria wewe. Amani ya Moyo wako inakutegemea wewe. Acha Uzinzi na tafuta Mke huku umkitumainia aliyekuumba.
Back
Top Bottom