Recent content by MUGASHA THE HERO

  1. MUGASHA THE HERO

    JamiiForums Tanzania Wageni kutoka vyama vya siasa katika nchi 25 leo Wametembelea Makao Makuu ya CHADEMA

    pamoja sana chama langu smart
  2. MUGASHA THE HERO

    JamiiForums Tanzania Wageni kutoka vyama vya siasa katika nchi 25 leo Wametembelea Makao Makuu ya CHADEMA

    acha umbea mtoto wa kiume
  3. MUGASHA THE HERO

    JamiiForums Tanzania CHADEMA hawana chao utawala wa Rais Magufuli

    wapeni nafasi ya kufanya siasa bila kuzuiwa then tutajua uwezo wao. sasa ninyi mmewazuia kufanya siasa then mnasenma hawana chao.tumieni akili ccm
  4. MUGASHA THE HERO

    JamiiForums Tanzania Dr. Mashinji mpaka sasa ndio Katibu Mkuu bora wa chama cha siasa nchini

    kama yule wa ccm
  5. MUGASHA THE HERO

    JamiiForums Tanzania Ipo siku, hili bus litaua watu kwa kweli!

    :p:p:p:p:p:p:p:p mpambalyoto mbishi sana
  6. MUGASHA THE HERO

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa huyu mwenzetu, muda wowote anaweza jiua

    :p:p:p:p:p:p
  7. MUGASHA THE HERO

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa huyu mwenzetu, muda wowote anaweza jiua

    Habari za mchana wana jf Tarehe 19/11/2016, siku ya Jumamosi kulikuwa na mahafali ya chuo kikuu flani (jina linahifadhiwa). Nilifanikiwa kufika chuoni hapo kusherehekea na mdogo wangu. Sherehe ilikuwa nzuri mpaka mwisho, muda wa sherehe ulipokwisha nilimuaga mdogo angu na kuanza kutoka getini...
  8. MUGASHA THE HERO

    JamiiForums Tanzania Hali ni mbaya wajameni

    sasa hivi mpaka vijijini watu wanalia na njaa ya pesa
  9. MUGASHA THE HERO

    JamiiForums Tanzania Edward Lowassa asimamishwa na wananchi akielekea Mpwapwa

    Itv watarusha hii hbr?
  10. MUGASHA THE HERO

    JamiiForums Tanzania Huyu Rais kageuka lini jamani!?

  11. MUGASHA THE HERO

    JamiiForums Tanzania Je, kuna unafuu wa maisha? Sema Ndiyo au Hapana

    HAPANA
  12. MUGASHA THE HERO

    JamiiForums Tanzania CCM wamwekea Lowassa mazingira mazuri ya kuingia Ikulu!

    Wadau japo tunapenda huyu mzee tutambue tume ya uchaguz ipo chni ya ccm. Polic wapo chn ya ccm, wakurugenzi wote ni makada watiifu wa ccm. Hv tunategemea nin hapo?
  13. MUGASHA THE HERO

    JamiiForums Tanzania Bodi ya Mikopo kuwafikisha Mahakamani wadaiwa sugu 142,470 kama wakishindwa kulipa ndani ya siku 30

    miaka yote walikuwa wapi? saa hivi wamefulia mpaka wanakuja na hizi mbinu zao. hata hivyo huo ni muendelezo wa matamko hewa
  14. MUGASHA THE HERO

    JamiiForums Tanzania Hili la Makonda lilinishangaza zaidi

    huyu anastahilin kuwa konda kama jina lake linavojieleza. hizo nafas za appointment letter ni shida sana
Back
Top Bottom