Recent content by mugah di matheo

  1. mugah di matheo

    JamiiForums Tanzania Kariakoo derby 10.10.2026 ipo? Kuna mashaka

    Mbona hata simba Hana amsha amsha tulizozizoea?
  2. mugah di matheo

    JamiiForums Tanzania Kariakoo derby 10.10.2026 ipo? Kuna mashaka

    Habari za muda huu wadau Napenda kuuliza wataalamu wa mambo derby ya jumamosi ipo kwelii?? Simba ambao ni wenyeji hadi muda huu hawajatangaza viingilio halafu promo ni ndogo sio kama miaka yote na timu mgeni yaani yanga wao wapo kimya na hapo ni bado siku tatu,,je derby ipo kwelii au...
  3. mugah di matheo

    JamiiForums Tanzania Usiku huu GOAT anaagwa Kwa heshima

    Hawezi susa hadi ashinde wed cup
  4. mugah di matheo

    JamiiForums Tanzania Usiku huu GOAT anaagwa Kwa heshima

    Ndio kinachoendelea huko america kusini Mess yupo uwanjani akiagwa rasmi kutumikia timu ya taifa Dk73 Argentina 3-0 Benin Mess 1 goal & 2 asists
  5. mugah di matheo

    JamiiForums Tanzania Nchi 7 'hatari' zaidi kwa usalama Afrika

    Bila Sudani ni chai masala tu hii
  6. mugah di matheo

    JamiiForums Tanzania CHAN 2024 | Quarter-Final | FULL TIME Tanzania 0-1 Morocco | Benjamin Mkapa Stadium | 22-08-2025 | Saa 20:00 Usiku

    Mzinze na Fei ni wachezaji wa kawaida wapo overated
Back
Top Bottom