Recent content by Mugabe Tz

  1. Mugabe Tz

    Movies zilizotoka 2022 toka hollwood hizi hapa...bando lako tu

    Mbona page inaload tu haifunguki Mkuu, natumia Chrome Browser
  2. Mugabe Tz

    Rais Samia kaona hatari ya Sukuma gang na CHADEMA kuungana, anawatenganisha

    First Seat, MATAGA njooni huku, kuna mtu kawataja
  3. Mugabe Tz

    Burning issue: Mchakato wa uagizwaji wa mafuta nchini-petroleum bulk procurement system

    Habari za mchana huu wana JF wenzangu...........................Poleni na harakati za kufanya mkono uende kinywani Kwa faida ya wengi, naomba mods msiuunganishe uzi huu na nyuzi nyingine kutokana na unyeti na umahsusi wa mada tajwa humu. Naomba kwa yoyote anayefahamu kwa kina kuhusu mchakato...
  4. Mugabe Tz

    Nataka niwe na playlist ya nyimbo kali -- both Old Skool and New Skool, sio za makelele

    Mshindi- Bella Kombo Milele-Bella Kombo Usiyeshindwa- Paul Clement Ombi Langu- Ambwene Mwasongwe Nikumbushe- Angel Bernard Ukipiga hizi ngoma kwny gari folen yote inafunguka
  5. Mugabe Tz

    Nataka niwe na playlist ya nyimbo kali -- both Old Skool and New Skool, sio za makelele

    Bongo Daslam- Prof J Saa zingine- Didge Kila napokuona- Chid Benz Inatosha- Marioo Meet u at the river- mafikizolo Nasinzia- Nameless
  6. Mugabe Tz

    Waziri wa sasa wa fedha wa Tanzania ana exposure gani kwenye uchumi?

    Mleta uzi you have a point, jamaa alikua anajib maswali ya msingi aliyokuwa akiulizwa pale Clouds kwa majibu ya darasani kabisa ( too theoretical) mpk nikashindwa kabisa kumuelewa km huyu ndio Waziri wa fedha
  7. Mugabe Tz

    Napendekeza taa za kuongozea magari ziunganishwe na mifumo ya ‘Google maps’

    Utakuta traffic wa mataa ya Kamata karuhusu gari zinazotoka mjini kuelekea Mfugale kupita kisha yule wa mataa ya Changombe kazuia anaruhusu gari zinazotoka Ilala kwnd temeke Vurugu tupu asee
  8. Mugabe Tz

    Napendekeza taa za kuongozea magari ziunganishwe na mifumo ya ‘Google maps’

    Mkuu nimewahi pia kuwaza kama wewe siku moja foleni ilipokua kali sana pale mataa ya Kamata kutokea mjini Wazo mbadala, hivi App developers hawawezi kutengeneza app itakayotoa live feed ya foleni barabaran ili kama barabara A iko overloaded basi watu watumie barabara B Kwamfano kwa siku za...
  9. Mugabe Tz

    Ujenzi wa barabara ya mwendokasi, Magomeni - Karume waanza kwa fujo

    Wasiwasi wangu pia ni kama upanuzi wa Uhuru Road (Karume-Kkoo) utawezekana maana zile njia mbili zimemaliza space yote Labda kama BRT itaunga Nyerere Rd (Mataa ya Changombe) to Kkoo
  10. Mugabe Tz

    Mchango wangu kwa Serikali kufikia lengo la Trilioni mbili kwa mwezi

    Umeongea vema Mkuu lkn pia kama kweli tunataka kuwafanya wananchi wapende na wawe na moyo wa kulipa kodi kwa hiari yao wenyewe ni lazima pia kodi unayokusanywa ikalete mabadiliko na kutatua changamoto zinazowakabili wananchi hao, sidhani kama kuna mlipa kodi atapenda kulipa ilihali haoni impact...
  11. Mugabe Tz

    Mchango wangu kwa Serikali kufikia lengo la Trilioni mbili kwa mwezi

    Ngoja walipa kodi wanyonge waje, first seat wkt nafikiria nini cha kuandika
  12. Mugabe Tz

    Vijana watano (below 40 years) wanaofaa kwa nafasi ya Katibu Mkuu CCM taifa

    Seat ya mbele kabisa, Lumumba mje huku mfanye analysis
Back
Top Bottom