Umeanza lini kuishabikia Simba maana kama hujui kuwa Simba kuna kipindi cha misimu mitatu mfululizo ilitumia wachezaji vijana wakititokea Simba B kina Mkude, Ajib, Singano,Mwanyika, Ndemla,Lucian,Isihaka Hassan, Miraji Athuman na kwa kipindi chote Simba ilikuwa inafukuza kivuli cha kupata...