Recent content by Mudugu

  1. Mudugu

    JamiiForums Tanzania Kupata kura ziro kwenye uchaguzi ni uamuzi wa kidemokrasia wa wananchi na sio kuibiwa kura kama inavyopotoshwa na wanaokataliwa

    Unajitaidi Sana kupindisha ukweli unazani mtanzania bado amelala kama unavyo fikiria huwezi eleweka kwakuwa mambo mengi tunajionea Kwa macho siyo kuambiwa
  2. Mudugu

    JamiiForums Tanzania Kupata kura ziro kwenye uchaguzi ni uamuzi wa kidemokrasia wa wananchi na sio kuibiwa kura kama inavyopotoshwa na wanaokataliwa

    Wewe ndo unapotosha uszani wananchi hatujui madudu yaliyomo Unaposema kura 0 wakati mgombea mwenyewe kajipigia kura inamaana kura yake imeenda wapi mpaka iwe zero?
  3. Mudugu

    JamiiForums Tanzania mudugu

    Wana JF naomba tuelimishane kuhusu huu ujumbe wa MamboAfrica unao sambazwa na mtandao wa Airtel isije ikawa ni matapeli tukalizwa anayejua naomba atujuze najua nahumu wapo wengi waliotumiwa huu ujumbe
  4. Mudugu

    JamiiForums Tanzania Fursa Fursana na mamboAfrica

    Hata Mimi wamenitumia Leo hii na sijaelewa wanamaanisha nini maana sija tuma ombi
  5. Mudugu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake wazuri hawaolewi

    Kwani na wewe nimzuri?
  6. Mudugu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanaume, acha tabia ya kutembea na Wake za watu.

    Kutembea na mke wa mtu kweli siyo vizuri kama unajua kuwa huyo nimke wa mtu Lakini kuna Wanawake wengine hawasemi ukweli wanajifanya wako single Ila utakuja kujiua siku yamekufika Je hapo uta kaaje mbali nao
  7. Mudugu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanaume anavyotekwa kwa nguvu za mahaba na giza

    Siyo kwamba anafundisha alishajonea yote hayo maana Madada walio wengi ni wachawi Mbona wala usiwatetee hao viumbe
  8. Mudugu

    JamiiForums Tanzania Top 10 ya nchi zenye utajiri wa madini Afrika, Tanzania haipo

    Mimi nilivyo elewa utajiri wa madini maana yake ni Nchi zilizo tajilika kupitia madini yaliyomo nchimi mwao Lakini Kwa Tanzania yetu madini tunayo Kwa wingi lakini Tanzania haijatajirika kupitia madini hayo Maana yake mnayaiba
  9. Mudugu

    JamiiForums Tanzania Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete, Magufuli na Samia, yupi Rais bora kwako?

    Naunga mkono hoja napigilia misumari nchi 12
  10. Mudugu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Vijana waliooa wanakwaza sana

    Mjinga muheshimu ili kuepuka balaa
  11. Mudugu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Vijana waliooa wanakwaza sana

    Tatizo lako umekalili madili tu. Utazani ndo kwanza unaanza kuyajua madili mabroo zako wanaona kuongelea madili na wewe bado hujakomaa bola wakuulize kuoa kwanza mambo mengine ndo yanafuata. Ila kifupi kubishana na wavulana ni shida yataka moyo maana ndo kwanza wanaanza kuyajua maisha
  12. Mudugu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Vijana waliooa wanakwaza sana

    Tena kadogo kanako elekea kuyajua maisha Bado kamekalili madili tu
  13. Mudugu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Vijana waliooa wanakwaza sana

    Unapaniki kuulizwa umeoa? Niutoto unasumbua ukikua utaacha. Maana hapo sioni chaajabu
  14. Mudugu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wapi bora zaidi kuoa, mjini au kijijini?

    Inategemea na mazingira na mtu mwenyewe
  15. Mudugu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hela ya mwanamke huliwa na nani?

    Kwani na yeye alinisimesha?
Back
Top Bottom