Recent content by Mudi awori

  1. M

    Watendaji wakuu Serikalini, waajiriwa Serikalini na taasisi zake wanatosha kuiinua TTCL iwapo watatumia mtandao huo - TTCL jengeni minara nchini!

    Serikali haina haja y kufanya biashara . Jambo hili lilishandikana awamu ya kwanza. Kinachotakiwa serikali ikusanye kodi stahiki kwa wanaofanya biashara. TTCl inaomba 1.6 tril ili kuboresha huduma zake , hapo hapo inatoa gawio serikali. Haya ni maajabu y karne. Report y CAG shirika lipo ICU...
  2. M

    Ikulu: Rais Magufuli akutana na Mkurugenzi wa Idara ya Afrika wa IMF, wazungumzia ripoti ya IMF iliyovuja

    Kwahiyo miradi hii ni fedha zetu za ndani? Good tupo vzr
  3. M

    Marekani: Uhuru wa vyombo vya habari haupimwi kwa idadi ya machapisho

    Bora wameonyesha undumelakuwili wa Prof n ukilaza uchumia tumbo
  4. M

    Mwakyembe: Marufuku kumuliza Azory Gwanda alipo. Mbona viongozi wa Serikali hamuwaulizii? Waliokashifiwa na gazeti la Tanzanite waende Mahakamani

    Phd holder amechanganyikiwa n madaraka mpaka amesahau thamani y uhai wa binadamu. Kumbuka wtt wake n mkewe n familia kwa ujumla wako kwenye majonzi makubwa kw kupotea bwana Ezory. Tunaamini mh bado unamajonzi makubwa ya mke , kumbuka n familia yEzory nayo inaumia km uumiavyo wewe.
  5. M

    ATCL kuanza safari kwenda China

    Haya ni maajabu y prof june to september[emoji85][emoji85][emoji85]
  6. M

    Rais Magufuli: Ndege ya Serikali iliyokabidhiwa kwa ATCL ilikuwa ichorwe Twiga kwa Tzs mil 200, nilivyoingilia ikachorwa kwa Tzs mil 5

    Tusubiri tuone rangi itakuwa vipi Twiga asijegeuka kuwa paka miezi miwili baada y ndege kuruka
  7. M

    Leo ndio nimemwelewa Waziri wetu wa Mambo ya Ndani

    Kumbe unaweza nchi inawezapata viongozi wa aina fulani kwa muda mfupi tu nchi ikarudi nyuma miaka 100. Hatawanao msikiliza wanapata mshangao.
  8. M

    Operation "Delete CUF" Dar es Salaam imeanza, Jengo la Wabunge wa CUF limekuwa Ofisi ndogo ya ACT-Wazalendo

    Hivi sasa watu wengi wamechoshwa kusikia ccm. Wapo tayari kijiunga n chama chochote bila kujali nani yupo km lengo nikukiondoa madaraka. Ndio maana wanamkimbia Prof kwasababu anaonekana kuwa msaliti, anatumika
  9. M

    Je, Bunge letu linaendeshwa kikada? Ili tuwe na Bunge la haki, lenye uwezo wa kuisimamia Serikali Kikamilifu, kuna haja Spika asitokane na vyama?

    Nina wakuruhusu hayo yote? Wananchi walitoa mawazo kwenye mapendekezo y katiba mpya chini jaji Warioba yakafyekelewa mbali. Labda ungeuliza tufanye nini au unashauri nn ili tupate katiba inayokidhi mahitaji y mfumo wa vyama vingi. Kwa katiba ilipoyopo ni majanga makubwa. Ma dc n Rc wanalipwa n...
  10. M

    Askofu Bagonza: Maajabu nchi maskini serikali inafokea wananchi, ila kwa nchi tajiri wananchi wanafokea serikali. Uchumi wa kati wanafokeana sie bado

    Huyu nae Bashite. Uliambiwa nani Askofu lzm aseme au kuandika kitu kilichopo kwenye Bible? Ataishije au unafhani wao wanaelimu y biblia tu
  11. M

    Edward Lowassa arejea CCM, apokelewa na Uongozi wa juu wa chama

    Katoka kijiji leo kanunua smart phone[emoji23][emoji23][emoji23]
  12. M

    Watanzania waishio Marekani wasema wako tayari na kwa moyo mkunjufu kuendelea kumchangia Lissu: wapeana account ya benki kuchangia

    Yy hakuwa n saving yoyote? Ndugu yako alishapoteza uhai popote anafukiwa tu. Lisu anatetea uhai wake. Lisu anachotetea ni kwa manufaa ya nchi. Hatuna taarifa n ndugu yako alikuwa anasimamia nn? Kitu gn alifuata huko. Acha kubeza watu kwahoja dhaifu
  13. M

    CHADEMA na Familia tupeni utaratibu wa kumchangia Tundu Lissu

    Nashangaa chadema wanasubiri nn kutoa utaratibu.
  14. M

    Tundu Lissu akiomba misaada Marekani

    Tumsaidie TL anapitia kipindi kigumu. Matibabu ni gharama kubwa, malazi, na mambo mengine. Hakupenda hili litokee tuache kejeli zisizo n maana, hujuikesho lipi litakufika. Tumshukuru mungu kumpa nafasi nyingine y kuishi, atizame familia yake nakuendelea kulitumikia Taifa lake.
Back
Top Bottom