ATCL kuanza safari kwenda China

ATCL kuanza safari kwenda China

Wachina hawana lolote, mafisadi tu na wezi hao

China wanatoa rushwa kwenye nchi za Africa ili kupata kandarasi za ujenzi...

China wanamwaga vitu feki huku Tanzania

Tanzania ni shamba la bibi kuuzia vitu feki

Kwa Nini Tanzania inashindwa kuuza Mahindi na Nguruwe China?

China inaagiza Corns (Mahindi) kutoka Marekani (USA)

Unafiki tu na Mazuzu yanashangilia

Unawafahamu waChina au unaongea tu.
 
Kati ya mwezi June na September
Yaani hata uhakika hana

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
View attachment 1069861

Waziri wa Mambo ya Nje na ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe Prof Palamagamba Kabudi amesema shirika la ndege nchini ATCL linatarajia kuanza safari za ndege ya moja kwa moja kutoka Dar es Salaam mpaka kwenye jiji la Guangzhou nchini China ili kuchochea biashara na utalii kati ya Tanzania na China.

Akizungumza wakati wa ufunguzi wa ofisi ndogo za ubalozi wa China jijini Dodoma Waziri Kabudi anasema Guangzhou ndio kitovu cha biashara baina ya nchi hizi mbili na safari hizo zinatarajiwa kuana kati ya mwezi June na Septemba ambapo pia mwaka ujao wa fedha Tanzania itafungua ubalozi mdogo kwenye jiji hilo.

Mwenyekiti wa Kamati ya kudumu ya bunge ya mambo ya nje ulinzi na usalama Mhe Mussa Azan anasema mataifa ya Tanzania na China yana uhusiano wa kihistoria kwa muda mrefu huku balozi wa china nchini Wang ke akisema nchi yake itaendelea kuunga mkono juhudi za Tanzania kwenye mambo mbalimbali ya maendeleo.
Huko China itakuwa ikiwapeleka kina nani maana wafanyabiashara wengi kwa sasa wako hoi. Au itakuwa inampeleka Makonda na Gambo kama walivyokwenda Zimbabwe?
 
Safari za Zambia zimekufa?? Si bashite na gambo walisindikiza ndege kwa Mara ya kwanza mbona hatusikii safari za huko ???? Au ilikua namna ya kufuja pesa za wananchi tu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wadai wetu huko China pia wanapajua msije kulia lia wakati wameibakiza kwao hiyo ndege
View attachment 1069861

Waziri wa Mambo ya Nje na ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe Prof Palamagamba Kabudi amesema shirika la ndege nchini ATCL linatarajia kuanza safari za ndege ya moja kwa moja kutoka Dar es Salaam mpaka kwenye jiji la Guangzhou nchini China ili kuchochea biashara na utalii kati ya Tanzania na China.

Akizungumza wakati wa ufunguzi wa ofisi ndogo za ubalozi wa China jijini Dodoma Waziri Kabudi anasema Guangzhou ndio kitovu cha biashara baina ya nchi hizi mbili na safari hizo zinatarajiwa kuana kati ya mwezi June na Septemba ambapo pia mwaka ujao wa fedha Tanzania itafungua ubalozi mdogo kwenye jiji hilo.

Mwenyekiti wa Kamati ya kudumu ya bunge ya mambo ya nje ulinzi na usalama Mhe Mussa Azan anasema mataifa ya Tanzania na China yana uhusiano wa kihistoria kwa muda mrefu huku balozi wa china nchini Wang ke akisema nchi yake itaendelea kuunga mkono juhudi za Tanzania kwenye mambo mbalimbali ya maendeleo.

In God we trust
 
Kwani minofu ya nyama ya mbuzi siku hizi haina soko huko China?
watu wamefunga biashara zao kkoo mitaji imekata mnaanza kwenda china ndio mwanzo wa siti kubaki wazi wakati wa trip
Serikali kuna mahali inakwama ijiangalie upya

In God we trust
 
Hapo sasa ndiyo kimbembe
Safari za India vipi, Zambia na Zimbabwe tunaomba marejesho..

Japo nasikia muda sio mrefu ATCL itahamishiwa Ikulu, hakuna CAG kugusa tena.

In God we trust
 
Safari wanatarajia zitaanza katikati ya jun na September!!!! Hata wao hawana uhakika wa hata mwezi gani wataruka kwenda huko. Watu wanafanyaje bookings wakati haifahamiki ratiba ya safari zao?

Sent using Jamii Forums mobile app
Labda kuna vikao vya chama kwenye kipindi hicho maana hawachelewi ku cancel safari kisa dream liner inawapeleka waneki dodoma

In God we trust
 
Back
Top Bottom