Bongo Kuna ugumu wake na afadhal yake iskie depression kwa mtu tu ila omba isikukute kiuhalisia ,ulaya ni tamu ukishakuwa na makaratsi kamili na lugha ikiwa ipo timamu .
Wengi wetu hudhania kwamba ukifika tu ulaya umetusua bila kujua kule Kuna laws zake na mikakati maalumu na ni LAZIMA usugue...
Anakaa ndani kuhakiki pesa zake yeye mwnyewe aliozitolea jasho Sasa kuhesabu pesa zake pia awekewe mipaka ?
Haijalishi Kuna foleni kias gan hata yey alikuwa kwnye foleni akisubiria na yeye pia asubiriwe vileville mwenye haraka Sana ajenge ATM yake nyumbani kwake
Wãbongo wnajfanya wajuaji Sana ,kupungua pesa kwnye ATM inatokea sometimes .
Niliwahi kwnda ATM Kuna kima mmoja kafupi kisa kamepewa gari la serikali kuendesha mwanaume mwenzake na mshahara wake wa laki sita kwa mwezi kikaanza kuleta porojo eti Kuna foleni wakati Huo huo mm pia nilisubiria...
Juzi kati hapa nimekuta daftari la mtoto limefutwa jina langu limeandikwa la mwamba mwengine hayo yametokea baada ya ziara ya ghafla kwenda kumcheki dogo namuuliza mama mtu ananipa maneno yasioeleweka kichwani mwangu ... Hawa wanawake tuwaangalien tu aisee
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.