Bunge ni chombo muhimu sana kwenye nchi yoyote, na ndicho chombo chenye dhamana ya kutunga na kupitisha sheria mbalimbali katika nchi husika.
Hapa kwetu Tanzania kuna mabunge mawili la Tanzania Bara na la Zanzibar kwa wakati tofauti mabunge haya yamepitisha sheria mbalimbali, lakini sheria hizo...
Mjadala mkubwa ni hii hamisha hamisha watanzania toka kwenye maeneo yao ya asili na kuwapeleka ugenini waanze maisha mapya je kabla ya utekelezaji huo walilipwa?
Kama walilipwa naamini utaratibu mkubwa ulifuatwa kwa maana waliandaliwa kiakili, na walitengenezewa mazingira ya kutoathiri...
Lowasa alikuwa ni kati ya viongozi waliopata bahati ya kuzaliwa kizazi ambacho wale wachache walioweza kupata elimu kipindi hicho na kuichagua siasa kama sehemu yao ya maisha, wana maisha mazuri sana.
Kwenye siasa kuna kuanguka, kuna kusalitiana kwenye makubaliano, kuna kuogopana katika upana wa...
Hapa kidogo sekretariet ya bunge kuna kitu wamefanya, ila wasingetaka ufafanuzi, kwenye mapendekezo wangesema sehemu hizo za vipengele walivyotaka ufafanuzi, havipo kwa maslahi ya nchi, vinahitajika viboreshwe na viwe wazi.
Pia kwanini kuwe na siri??
Kwanini suala la ulinzi na usalama liwe...
Kuna nguvu nyingi inatumika na CCM kuharalisha mkataba huu, sasa hivi imeonekana mkataba huu ni agenda ya chama cha CCM, Kwenye utekelezaji wa sera zao, kwahiyo CCM wameamua kulibeba, na kuondoa lawama kwa wote waliongia mkataba kwa niaba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Mkataba huu ata kama...
Kuna vitu vinaendelea kuhusu usajili ambao tff wameachia dirisha hilo kuanzia 1/07/2022 hadi 30/08/2022 ambapo tunashuhudia mambo kipindi hiki.
Timu ya Yanga Afrika ilichagizwa na uchaguzi, ambapo kipindi ya kampeni kuelekea uchaguzi huo wagombea waliaidi mambo mengi kwa maendeleo ya klabu...
Ukitaka kujua ni mwanao au lah....we akizungua mpige vya kutosha.....kama ni mwanao itamchukua muda mfupi kusahau nakuja kudeka kwa baba kama kawaida.....akikuchukia na kuweka kinyongo huyo sio mwanao unaishi na adui ndani..[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Akiwa anafikiria kuondoka kwa @realcloutuschama na luis_miquison kuta leta unafuu wa kupata nafasi ya kucheza mara kwa mara @simbasctanzania ikamletea wachezaji 4 kwenye nafasi hiyo @dcduncun nyoni @peterbanda @papeousmanesakho @ sadiokanoute kwa hali hii maamuzi aliyofanya ni sahihi kwa manufaa...
Baada ya msemaji wa polisi kuibuka na kuutangazia umma kwamba Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe kujiusisha na mambo ya ugaidi imeshtusha sana.
Ni kweli Jeshi la Polisi lina uweledi mkubwa kwenye ugunduzi wa mambo yanayohusiana na uhalifu, lakini kwenye hili tuombe Allah...iwe kweli, ila...
Heshima yako mama....!
Pole na majukumu mazito, ambayo unaendelea nayo, nikiwa kama Mtanzania na niliyebahatika kusoma, niseme kwamba kuna changamoto kubwa kwenye mitaala ya elimu yetu ambayo inafubaza elimu yenyewe.
Mama yetu...
Kwa sasa elimu hii inakuandaa kuajiliwa tu na bahati mbaya ajira...
Amesikika Mwenyekiti wa kamati ya hadhi na maadili ya wachezaji akisema kwamba, mkataba kati ya Morrison na Yanga ulikuwa una mapungufu na mapungufu hayo yamempa faida Morrison kushinda kesi aliyoipeleka yeye mwenyewe TFF.
1. Kwanza ikumbukwe aliyeshtaki kwa TFF ni Morrison akiamini hakuingia...
Mangaka kwa duka la vifaa vya ujenzi litalipa kwa maana bado ni wilaya inayojengeka kwa kasi na maduka kama hayo yapo ingawa sio mengi....kwa kiasi kikubwa yapo yanayomilikwa na wazawa, kwa hiyo uwe tayari kupata upinzani toka kwa wenyeji......
Vijana wengi waliokuja kutafuta maisha mjini...
Tumezoea kwenye chaguzi mbalimbali vyama vinatumia mbinu mbinu tofauti kudhoofisha vyama vingine, au kutokea picha flani kama la kihindi ambalo linatoa taharuki kwa wapiga kura wasiwe na msimamo wampigie kura nani.
Uchaguzi mkuu wa 2015, tuliona taharuki kubwa pale ambapo mwanaharakati Slaa...
(HAIJALISHI ANATOKA CHAMA GANI)
Wakati watanzania wapo katika kipindi cha kusubiri uchaguzi wa serikali za mitaa kabla ya kipyenga kulia kwa uchaguzi mkuu hapo mwakani, ambapo mambo mengi yanajitokeza, na ikumbukwe kipindi hiki ndicho kipindi pekee ambacho viongozi mbalimbali wakuchaguliwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.