Recent content by mucram

  1. mucram

    JamiiForums Tanzania Natafuta soko la chakula na cakes

    Habar zenu wakuu, mimi ni mjasiliamli mdogo, hutengeneza bites, chakula, na cakes. Ila ujasiriamali wangu hutegemea orders za wateja ndo niandae.. Napatikana mwanza.. Kwa mawasiliano zaidi Whatsapp +255625632376 Instagram @foodbites_cycle.
  2. mucram

    JamiiForums Tanzania Naomba uniulize chochote kuhusu kufanikiwa katika Biashara na Ujasiriamali

    Kaka nahitaj sana kufanya ujasiliamali lakin kwa sasa nipo tu namtaji wa laki mbili na najaribu piga akili chakufanya lakin sijawah fika kwa conclusion kwamba nifanye nn? Plz unaweza nisaidia muongozo na mawazo nipo mwanza
  3. mucram

    JamiiForums Tanzania Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Sorry mim ni mpya humu ndo mekutana na uzi aisee sorry kama waweza nitag kwa vitabu sio mbaya but sorry
  4. mucram

    JamiiForums Tanzania Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Nahitaj kujua more about FOREX. Plz?
  5. mucram

    JamiiForums Tanzania Naomba mnishauri niombe course gani NACTE?

    Wakuu samhan sana nilikuwa nauliza kwa course ya diploma ya computing and information technology.. Je soko lake lipo vip? Plz naomba ushaur
  6. mucram

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua kuhusu matokeo ya walio omba vyuo awamu ya 4

    Mkuu mie nimeingia nacte lakin bado wanasema system is closed yaan l. But mie ni non degree program nilifanya 3rd round..
  7. mucram

    JamiiForums Tanzania Tatizo kwenye profile yangu

    Mkuu nacte kwan third round wameishatoa?
  8. mucram

    JamiiForums Tanzania TCU na NACTE kulikoni?

    Wamesema had saa sita mchna kamili kitu kinafunguka..
  9. mucram

    JamiiForums Tanzania Mwenye uelewa na Meteorology

    Naomba unifafanulie hiyoo technical certificate na hiyoo ordinary diploma! .. Samahn lakin nahitaj kujua..
  10. mucram

    JamiiForums Tanzania Mwenye uelewa na Meteorology

  11. mucram

    JamiiForums Tanzania Mwenye uelewa na Meteorology

    Samahn sna kama nilikuwa nataka kuomba hiyoo course kwanza ya diploma lakin sasa kwa chuo cha kigoma kuna vitu vinanichnganya pia cz kuna hii diploma in meteorology and certificate in meteorological technician naomba ufafanuz kaka...
  12. mucram

    JamiiForums Tanzania Diploma in Meteorology

    Oooh nilitaka kujua hata kwa sasa nafas zipo au? Hakuna.. Au mpka kesho tuangalie nacte
  13. mucram

    JamiiForums Tanzania Rasmi: Majina ya Waliopangiwa kujiunga na Kidato cha Tano, Julai 2015

    Nisaidie link mkuu!!?
  14. mucram

    JamiiForums Tanzania Msaada jinsi ya kuroot simu ya tecno p 3 kwa kutumia app zinazopatikana playstore

    Wakuuu habari zenu!! Ninatumia tecno h6 na kila nikiinstall instamessage inaniambia kuwa ni rate na pia nikirate bado inaniletea maneno yale yale na pia inashindwa fanya kaz pls msaaaada wakuu
Back
Top Bottom