Kuna chuo cha Kigoma kinatoa certificate na diploma in meteorology. According to NACTE ni government sponsored.
Je ukimaliza ni ajira moja kwa moja? Na ukisoma certificate unaunga diploma hapo hapo au mpaka uombe tena kupitia NACTE? Mwenye uelewa naomba msaada tafadhali.