Mr. MTUI
JF-Expert Member
- Feb 18, 2013
- 8,129
- 8,374
Hapo kwenye nyekundu unamanisha nini?Nenda CBE Posta ndio wanatoa hyo course inahitaji uwe na ufaulu wa math..
Ajira zke zipo zinapatikana sana tofauti na faculty nyingine.
Hapo kwenye nyekundu unamanisha nini?Nenda CBE Posta ndio wanatoa hyo course inahitaji uwe na ufaulu wa math..
Ajira zke zipo zinapatikana sana tofauti na faculty nyingine.
oh i mean courses nyingne" correct itHapo kwenye nyekundu unamanisha nini?
Yenye dili zaidi ni hiyo ya KigomaYa wdmi wanaiita dip in hydrology and meteorology bt ya kigoma inaitwa dip meteorology so cjui ipi yenye dili zain
Jamani msichanganye UDOM ipo METALLURGY
study of metals: the study of the structure and properties of metals, their extraction from the ground, and the procedures for refining, alloying, and making things from them
Tofautisha alichouliz na unachojibu hyo ulichojibu ni meteorology but kauliza industrial metrology yaan hawa kwa majina tunawaita wataalam wa vipimo kazi zao nyingi ni kwenye mizani na viwandani !!
Metrology Vs Meteorology Think kabla ujareply!
Ordinary diploma 1 yr, technical certificate 2yrs kwa national meteorological training centre- kigoma kutoka nacte, Bsc in meteorology 3yrs kwa UDSMDipLoma ya kigoma miaka mingapi??
Samahn sna kama nilikuwa nataka kuomba hiyoo course kwanza ya diploma lakin sasa kwa chuo cha kigoma kuna vitu vinanichnganya pia cz kuna hii diploma in meteorology and certificate in meteorological technician naomba ufafanuz kaka...kama unataka kusoma diploma nenda chuo cha kigoma kama degree nenda UDSM, ndio iyo course ipo yani meteorology.kuhusu ajira zipo ila ufaulu vizuri tuu kwani kwa sasa walioanzisha iyo course apa UDSM wako mwaka wa mwisho kwa sasa na wanafuzi
ni wachache sana yani mwaka wa 1,2&3 hawafiki 100 kwa UDSM.so karibu sana mm mwenyewe nipo UDSM nasoma iyo iyo yan Bsc in meteorology.
Samahn sna kaka nilikuwa nataka kuomba hiyoo course kwanza ya diploma lakin sasa kwa chuo cha kigoma kuna vitu vinanichnganya pia cz kuna hii diploma in meteorology and certificate in meteorological technician naomba ufafanuz kaka...
Naomba unifafanulie hiyoo technical certificate na hiyoo ordinary diploma! .. Samahn lakin nahitaj kujua..Ordinary diploma 1 yr, technical certificate 2yrs kwa national meteorological training centre- kigoma kutoka nacte, Bsc in meteorology 3yrs kwa UDSM
Ha ha haaaa..... mzee hapa umetuibia nadhani unachanganya haya maneno mawili, Meteorology na Metallurgyhiyo ipo udsm na udom, inaitwa mineral processing and meteorology
Pia unaeza ajiliwa kama.mtu wa vipimoIyo kozi ipo chuo gani? Kozi nzuri lazima uajiriwe kama sio mamlaka ya hali ya hewa, au kwenye viwanja vya ndege, au uwe lecture
mkuu hivi mwenye bsc meteorology TMA anaanza na sh ngapikama unataka kusoma diploma nenda chuo cha kigoma kama degree nenda UDSM, ndio iyo course ipo yani meteorology.kuhusu ajira zipo ila ufaulu vizuri tuu kwani kwa sasa walioanzisha iyo course apa UDSM wako mwaka wa mwisho kwa sasa na wanafuzi
ni wachache sana yani mwaka wa 1,2&3 hawafiki 100 kwa UDSM.so karibu sana mm mwenyewe nipo UDSM nasoma iyo iyo yan Bsc in meteorology.