Recent content by muchetz

  1. M

    JamiiForums Tanzania EWURA - Vifurushi vya internet na muda wake

    Nime omba MODS wanibadilishie title ... cha msingi nadhani umeelewa msingi wa hoja yangu
  2. M

    JamiiForums Tanzania EWURA - Vifurushi vya internet na muda wake

    OK... kwahiyo na DAWASCO, TANESCO e.t.c na wenyewe waki bill kwa siku 30 ni sawa? Na kwanini hawafanyi hivyo?
  3. M

    JamiiForums Tanzania EWURA - Vifurushi vya internet na muda wake

    Watoa huduma karibu wote(kama sio wote) wa internet wanasema siku 30 (sio mwezi) za huduma. Kwanini sio mwezi mmoja? Profit maximization??. Kwa mtazamo wangu wanaiba siku 6 (kwa mwaka) for every subscriber (wako hundreds of thousands if not millions). Basi na Tanesco, Dawasco e.t.c wafanye...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Ni sawa na kifungo cha nje au mahabusu ya wazi kwa viongozi wote wa CHADEMA

    Hebu angali hiyo hukumu hata ingiza hii translation kwenye google halafu linganisha na hicho wanachosema. Au mimi sijui kusoma!!!
  5. M

    JamiiForums Tanzania ccm hata wakishinda uchaguzi, maana watashinda, hali imekuwa mbaya reputation imechafuka kabisa

    Uko sawa ila hapo "maana watashinda" badilisha weka "maana watatangazwa washindi". Ni hilo tu
  6. M

    JamiiForums Tanzania Vyombo vya habari vinaua CHADEMA kwa kuripoti wanaohama — asema Heche, Makamu Mwenyekiti CHADEMA bara

    Mkuu nimesiliza speech yote, sijaona popote heche amesema vyombo vya habari vinaiua chadema.... unless ni intepretation yako
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kibatala kuhusu ya Boni Yai na Malisa...

    Unapoteza kumjibu huyo. Hata yeye ni kichekesho tu.. we furahi hia tu. halafu pita
  8. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM Tumeamua Kumpa Mitano Tena Rais Samia

    Umeamua wewe na nani? Maana unasema tumeamua
  9. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anaweza kutoa mhadhara Chuo kikuu cha Havard au Yale Marekani na dunia nzima ikasimama

    Lakini wewe bwana!!! Sasa siku zote unasifiaaaaa weeeee huyo mama yako (kama kweli) lakini lazima utaje CHADEMA ili watu walau waingie kukusoma.. na unakula mvua za kutosha kabisa, ila huchoki..!!!!??$$##@**
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mbowe kung'ang'ania uenyekiti kutasababisha makada wengi wa chama kuondoka

    Mhhh. Hivi JK Nyerere alikuwa mwenyekiti wa CCM/( Na TANU kabla) kwa miaka mingapi?
  11. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Nipo kwenye hatua za mwisho za kusajili chama kipya cha siasa kitakachoing'oa CCM kabla 2025. Nahitaji vijana 10 tu kutoka kila mkoa

    Umedhamilia (Dhamiria) halafu ID fake!!!! Are you serious?
  12. M

    JamiiForums Tanzania Suala la mchele imeonesha wazi kuwa nchi yetu ina hazina kubwa ya watu wenye akili ndogo

    Boss umesoma taarifa ya TBS?
  13. M

    JamiiForums Tanzania Miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar, Tuyaenzi kwa 4R za Rais Samia?, JMT Tuitendee Haki Zanzibar?, Tuwatendee Haki Wazanzibari? Mshindi Halali Apewe?

    Paskali nilikuuliza huko nyuma (labda kama kumbukumbu yangu haiko vizuri) maana naona huwa hutumii Dr. (Mara nying) kwa mheshimwa Rais wetu. Kwa ufahamu wangu kama mimi naitwa Juma Ali nikipita U Dr kwa kusoma naitwa Dr Juma Ali, ila nikipata wa heshima naitwa Juma Ali (Dr) inakuwa mwisho kwenye...
  14. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dkt. Dimwa ataka Katiba ya Zanzibar ibadilishwe ili Dr. Mwinyi atawale vipindi viwili vya miaka Saba badala ya Mitano

    Duh.... Na huyu bwana Dimwa naye ni Dr. kweli safari bado ndeeeefu sana
  15. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Je, Siasa ni Ajira? Ni Kazi ya Mshahara au ni Kazi ya Kujitolea? Kwa Umasikini Wetu Huu Uliotopea, Ni Haki Kulipa Ruzuku kwa Vyama vya Siasa?

    Naona "point" yako... na tungeenda mbele zaidi hata mpaka kwa wabunge... Kwani ubunge unasomewa wapi? Kabla wakati, na baada ya ubunge si wakuwa na kazi/biashara zao> Kwanini mbunge asiwe tu anajitolea? Maana ni kazi ya kisiasa pia!!!
Back
Top Bottom