Recent content by mubhwe geniesama

  1. M

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kuzuia makengeza /malyenge kwa mtoto?

    Hospitali wanarekebisha mtoto akiwa na umri gani?
  2. M

    JamiiForums Tanzania Wenye nyumba kuweni makini na wapangaji WEZI WA UMEME

    Fafanua wanaibaje? Na vile hatupewi mikataba!
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kwa heshima niliyonayo kwa Serikali; Kwa mara ya Pili: Naomba imuachie Tundu Lissu mwezi Septemba kabla ya tarehe 7

    "Mhe. Rais JPM,nakuomba kwenye hotuba zako usitajetaje kifo" alionyaga huyu mtibeli, wenye kufukunyua nyuzi zake walete.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kulingana na mstari huu wa Biblia mwanamke hapaswi kuajiriwa huku ameolewa

    Hamuwezi kumtumikia Mungu na Mali. Kwa hiyo mume ni Mungu kwa mujibu wa tafsiri yako! Kasome upya teolojia vyuo ulivyopitia.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

    Hizo data zimepatikanaje? Zamani zile wale wa 1980s kurudi nyuma kulikuwa na vituo vya kukusanyia maziwa- Dairy kila mkoa, Leo viko wapi? Vingekuwepo hivi walao kila kijiji ungeweza kusema hizo data zina uhalisia. Labda huko Iringa na Mbeya anakonunua Asas. Wakati wa kampeni za JPM za 2020...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kwa wasiofuga na kulima ndio uona maisha ni magumu

    Kweli na hakika! Inaleta utulivu wa nafsi na hela ya mshahara kutulia. Nilijidhania ni mie tu uona ukweli huu!
  7. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 POTOSHI Picha ya Rais Samia akifuatilia kesi ya Uhaini inayomkabili Tundu Lissu

    Mhe. Rais mwachie huyo mtu! Mshirikishe kwenye serikali yako ijayo kuunda mifumo mizuri ya kisheria ya nchi. Pamoja na utukutu wake anayo mema pia hasa ya kuonesha udhaifu wa mifumo yetu ili irekebishwe twende vyema kama nchi.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kwa Wataalamu wa Tiba Asili.Dawa Gani Inafaa Kutumika Kuzuia Chuma Ulete kwenye Mazao ya Shambani?

    Mnyaaa unafanywaje? na Mzalia nyuma? Mwenye picha ya huu mzalia nyuma tafadhali.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Hii ni dawa nzuri sana kwa vidonda vya tumbo

    Picha ya mashona nguo tafadhali.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta shamba la kukodi morogoro kwaajiri ya kufuga

    Vianzi ipo wapi mkuu? Wilaya gani
  11. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu namna ya kufika Mpwapwa JKT 826 KJ

    Mpeleke Dugai apande basi, saa 3 asubuhi saa 5 au 7 mchana au 11 jioni. Akifika mpwapwa anapanda boda kumpeleka usawa huo. Mafunzo mema!
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mradi Mkubwa wa Mageuzi ya Sekta ya Mifugo Waja.Kugharimua Trilioni 550.Baa 100 na ATM 75 za Maziwa Kujengwa Nchi Nzima.

    Milk is white Gold! Tuchangamkie fursa! Anaefahamu vizuri hili suala atueleze hivyo vituo vinajengwa wapi kwa maana ya kijiji au kata au wilaya gani? Andiko kama lipo tafadhali! Dodoma vipo wapi? Mara vipo wapi? Hili jambo liliizungumzwa tangu enzi za JPM; na wakati fulani PM Majaliwa akawa...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Hivi hii niliiona tu peke yangu mwenye Jicho Kali la Tai wakati Rais Mstaafu Kikwete na Mkewe Salma wamemaliza Kuaga Mwili wa Hayati Mzee Msuya leo?

    Dada ana haiba ya hali ya juu kuanzia ongea, mantiki ya anachoongea na namna anavyokiongea! postures! Kiongozi mzuri, TZ tuna hazina kubwa ya watu! Hana mideko! Kimsingi hata mimi nilijisemea si arudi nyumbani!
Back
Top Bottom