Ni vizuri ikakumbukwa kuwa miongozo inayotekelezwa na mashirika inapata idhini kutoka kwa Wizara inayosimamia shirika hilo. Hivyo inawezekana Bodi inalaumiwa ki makosa kwani hawawezi kujiamulia kubadili utaratibu bila kuihusisha wizara. Mimi najiuliza, kwanini mwaka huu? mbona miaka...
Ndugu uliyeanzisha hoja hii vifungu ulivyonukuu vinapatikana katika SURA YA PILI YA KATIBA INAYOPENDEKEZWA. Lakini umenukuu kipengele kinachotoa malengo hayo ambayo serikali itatakiwa kuyatekeleza, lakini umesahau kuwa mambo yaliyotajwa katika sura hii hayatadaiwa mahari popote....yaani kwa...
Inapofika saa 12 asubuhi wasafiri wanaotumia barabara ya Mandela na Samnujoma kuja mwenge utawaonea hururma jinsi wanavyohangaika kupata usafiri.Abiria wanaounganisha kuja Mwenge kutoka maeneo ya gereji,external,mabibo hostel na riverside wamelazimika kutembea kutoka riverside hadi either Sim...
Somo la Hisabati kama linavyofahamika ktk shule za msingi si somo gumu, lakini ni somo ambalo ili mwanafunzi alifauru ni lazima alipende. Kwa wanfunzi kupenda somo kunajengwa na sababu nyingi.
Nitazitaja chache tu
1. Mwl anayemfundisha mtoto katka madarasa ya awali(darasa la I, II na III). Awe...
94.-(1) Bunge linaweza kupitisha azimio la kumuondoa Rais madarakani
endapo itatolewa hoja ya kumshtaki Rais na ikapitishwa kwa mujibu wa
masharti ya Ibara hii.
(2) Bila kuathiri masharti mengineyo ya Ibara hii, hoja yoyote ya
kumshtaki Rais haitatolewa isipokuwa tu kama itadaiwa kwamba Rais...
HUU NI UTOTO WA KIFIKRA:
Mwanzisha mada anapaswa kujiuliza maswali haya kabla hajaleta hoja yake hii;
1. Kwanini vijana wengi wanasoma hizo combination
2. Kwanini serikali ilianzisha combination hizo
3. Je kuna mazingira rafiki ktk shule zetu yanayoruhusu wanafunzi kusoma hizo combination...
Nakushauri kama O-level ulikuwa unaiweza Chemistry na Bios, uende kusoma CBG. Coz ukimaliza, hata ukipata div 3 unaweza kusoma pharmacy au coz ingine ya afya! Never lose CBG
Hongereni wadogo zangu kwa kuchaguliwa kujiunga na kidato cha tano maana huo ndio mwanzo wa mafanikio. Ushauri wangu kwenu, daraja mnaloingia sasa ndipo unapoweza kutengeneza au kuharibu maisha; ninamaana ukifeli umefuta historia yako yote ya awali.
Hivyo mnapaswa kujitahidi kwa kila hali...
Mwacheni huyo anayelaumu heslb hajui alifanyalo, mpaka sasa bado kuna watu hawajaisha kufanya marekebisho kwenye fomu zao. Mi nimeenda jmosi pale nimekuta eti kuna watu wanabembeleza waruhusiwe kurekebisha kasoro zao richa ya kuwa muda umeshapita, so jamaa bwana bado wanahuruma sana wangeamua...
Jamani mi leo nimekwenda mguu kwa mguu mpaka HESLB maswali yote mnayoongelea nimeuliza. Ni kweli wahitimu wote wa f6 lazima tuombe mkopo kabla ya tarehe 30.06.2013, baada ya hapo maombi yatafungwa na hawataongeza muda isipokuwa kwa wale waliokwenye mafunzo ya jeshi. Pia kwenye ujazaji wa fm zao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.