Recent content by Muasu Wedi

  1. Muasu Wedi

    Wizi Mpya Vodacom M-pesa

    wizi upo ila sio huo. ukizid kiwango wanasema ikiwa ivyo kuna namba za huduma kwa wateja 24hrs uliza watajieleza kabla hujawaza polisi. piga 100 au 15366
  2. Muasu Wedi

    Wizi Mpya Vodacom M-pesa

    Siku ukishtaki tutakuchekaa. maana mi nimekua wakala wa voda miaka 5. hio ni netwek ambayo huwez mshtaki mtu. wiz ni kuambiwa ilikua 500,000 sasa ni 300,000
  3. Muasu Wedi

    Wizi Mpya Vodacom M-pesa

    huo sio wizi
  4. Muasu Wedi

    Toothpic making machine

    Nawaza kuwa na ka factory kakutengeneza toothpics any idea?
  5. Muasu Wedi

    Toothpic factory

    Nawaza kuwa na ka factory kakutengeneza toothpics any idea?
  6. Muasu Wedi

    Yaliyojiri Bungeni: Jumamosi, 29 Novemba 2014 (Hatma ya Sakata la Tegeta Escrow Account)

    pinda hawamuwezi. hakuna atakaeweza mtoa.
  7. Muasu Wedi

    Pinda, Werema waomba kujiuzulu. JK kuamua hatima saa moja usiku leo

    pinda hawezi toka! kwanza Jk kashasema ya dodoma hayajui anangoja kuambiwa. mtangoja sana watu kujiuzulu
  8. Muasu Wedi

    Nasikia sehemu kuubwa ya nchi haina umeme sababu kubwa ni mjadala wa ESCROW

    mi niko same na nimetokea mwanga pote gizaaa:mad::mad:
  9. Muasu Wedi

    Nasikia sehemu kuubwa ya nchi haina umeme sababu kubwa ni mjadala wa ESCROW

    vipi mjadala bungeni umeishaje? hakuna wakutolewa kafara kweli? kikwete atasemaje kwa hotuba kesho?
Back
Top Bottom