Recent content by Muashasa

  1. Muashasa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Faida za Michepuko Kwa Mwanaume Katika Ndoa.

    Duuuu.....kama kweli vile.
  2. Muashasa

    JamiiForums Tanzania Baada ya "nyongeza" E-loan kwenye mfumo wa ESS umezidiwa na kupelekea kufungwa kwa muda

    Chiba wenu? Futa kauli ndugu kabla hujafa hujaumbika.
  3. Muashasa

    JamiiForums Tanzania Ikitokea Manchester City akashinda leo navuta milion 50

    Anazingua tu huyu wala hana mkeka,ana kilago tu
  4. Muashasa

    JamiiForums Tanzania Ikitokea Manchester City akashinda leo navuta milion 50

    Hebu tupia huo mkeka tuone
  5. Muashasa

    JamiiForums Tanzania Facebook Tanzania yakumbwa na picha za ngono, TCRA kazi kwenu

    Tatizo hana uwezo wa kuingia tena kwenye akaunti yake maana wamebadilisha password.
  6. Muashasa

    JamiiForums Tanzania Facebook Tanzania yakumbwa na picha za ngono, TCRA kazi kwenu

    Kuna mtu wangu wamedukua akaunti yake tangu juzi na muhusika hana access ya kuingia tena,mbaya zaidi wanafanya utapeli kupitia akaunti hiyo.
  7. Muashasa

    JamiiForums Tanzania TANZIA Rais wa awamu ya pili wa Tanzania, Ali Hassan Mwinyi afariki dunia

    R.I.P mzee Ruksa
  8. Muashasa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mume, nina miaka 30

    Kiasi cha mahari hakijatajwa,cjui ni 20ml kama yule.
  9. Muashasa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kugongewa mke inauma sana

    Why? Au wewe mgongwaji maarufu?
  10. Muashasa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kugongewa mke inauma sana

    Kugongewa ni zaidi ya bomu la nyuklia. Usikiage tu usiombe yakukute.
  11. Muashasa

    JamiiForums Tanzania Endapo nitachukua mkopo kwenye kampuni za mawasiliano na nisirejeshe, nini kitatokea?

    Nimeelewa,nitafuata ushauri wao.
  12. Muashasa

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Kubeti 200k yataka moyo wa ujasiri.
  13. Muashasa

    JamiiForums Tanzania Endapo nitachukua mkopo kwenye kampuni za mawasiliano na nisirejeshe, nini kitatokea?

    Nimeshakopa ila nataka nisilipe.
  14. Muashasa

    JamiiForums Tanzania Endapo nitachukua mkopo kwenye kampuni za mawasiliano na nisirejeshe, nini kitatokea?

    Naomba kujua kama nitachukua mkopo wa makampuni ya simu na kutolipa wanaweza kunitafuta na kunidai?
Back
Top Bottom