Recent content by Muarubaini

  1. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri plz

    mwambie Mungu, muombe, ukiwa na imani dhabiti atakupa.
  2. M

    JamiiForums Tanzania mganga wa kunifanyia dawa ili nifaulu interview

    imeandikwa amelaaniwa yeyote amtegemea binadamu mwenzake na miungu na kumuacha Baba yetu wa mbinguni. Tubu haraka la sivyo hutapita. Mkabidhi shida yako Mungu kwan akiamrisha hata mapepo hutiii
  3. M

    JamiiForums Tanzania awa watu nishachoka kuwazungumzia,awabadiliki tu!!!

    dawa nikutoboa jicho na spoki ya baiskeli tu.
  4. M

    JamiiForums Tanzania What is the worst idea you have ever thought of?

    mambo mengine tanayo waza kama wengine wangeweza kuona dah, cjui ingekuwaje mazee?
  5. M

    JamiiForums Tanzania YESU amenipa kazi UN

    kwake yeye yote yawezekana, jina lake lihidiwe, ukimshirikisha kwa dhati utakunyanyua juu.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Tamko toka Tanzania International University kuhusu ajira walizotangaza

    omba wewe na familia yako mtapata wote
  7. M

    JamiiForums Tanzania Tamko toka Tanzania International University kuhusu ajira walizotangaza

    tunajua wewe ni tapeli dr magumashi Mnzava, unatetea utapeli wako. Shukuru Mungu serikali yetu imelala. Mnachukulia tatizo la ajiro kujinufaisha. Muogopeni Mungu
  8. M

    JamiiForums Tanzania Tamko toka Tanzania International University kuhusu ajira walizotangaza

    msisapoti huo utumbo, hata kama ingekuwa elfu tano, huo utamaduni na utapeli tukiukubali ndo utakuwa utaratibu wa makampuni ya Tanzania. Chuo gan hakiwez hata kugharamia interview. Mishahara wataweza? Huu ni uhun wa ku take advantage ya unemployment. Sema tu serikali yetu imelala.
  9. M

    JamiiForums Tanzania serikali kuna chuo kinaitwa TIU wanachangisha waomba ajira pesa, wakamatwe ni wezi

    wakamatwe, wezi, tukiwanyamazia hawa utakuwa ndo utamaduni wa mashirika ya Tanzania, wasome employment and labour relation Act 2004.
  10. M

    JamiiForums Tanzania nimeitwa kazini afisa tarafa.

    goma, usiende kazin mpaka watoe majina kwenye web dada ehe.
  11. M

    JamiiForums Tanzania serikali kuna chuo kinaitwa TIU wanachangisha waomba ajira pesa, wakamatwe ni wezi

    eti chuo kila anayeomba kazi anatozwa 20000, jamani TCU nnasajili chuo ambacho hakina uwezo wa kujigharamia recruitment. Huu ni wiz
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mashirika yanayo Ajii Bila Kuomba Vyeti vya Avademic, kwa wasailiwa,

    au mwambie aangalie reputable company kama PWC kuwa kama wanachukua gpa za kitoto.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Mashirika yanayo Ajii Bila Kuomba Vyeti vya Avademic, kwa wasailiwa,

    usipoteshe umma, adui yetu sio kuwa na vyeti, chamsingi kile cheti kionyeshe maarifa ya kweli ya mtu. Tukumbuke kuwa njia pekee ya kumtambua mtu uwezo wake ni kwa kuangalia utendaji wake amboa huwezi kuutambua kwa kusikiliza porojo za mtu kwenye interview kwan wengine wamejaliwa ufundi wa...
Back
Top Bottom