Recent content by MUAROBAINI ULIOKOMAA

  1. MUAROBAINI ULIOKOMAA

    JamiiForums Tanzania Mwalimu Nyerere pia alikuwa na vyeti vyenye majina tofauti

    Acha uongo weka vyeti vya mwalimu tuvione
  2. MUAROBAINI ULIOKOMAA

    JamiiForums Tanzania Lowassa aache uchonganishi, hakuna njaa nchini

    Uzuri wenye njaa hawapo JF endelea kudanganya maana ungeshughulikiwa
  3. MUAROBAINI ULIOKOMAA

    JamiiForums Tanzania Namba ya simu na sms aloisoma Tundu Lissu mbele ya waandishi wa habari hii hapa

    Kumbe ndo mnavyofanya! Kwa hiyo hata Ben mlimchukua kama mwewe na hatujui alipo kama ulivyosema, duh hii nchi yetu sio salama tena mm="kababu, post: 18982180, member: 131422"]KWA HIYO SERIKALI NDIO IMEANDIKA HII MASSAGE, SERIKALI NINI??? YAANI IYO MESSAGE PENGINE ALITUMIWA TUU ILI KUPOTEZA...
  4. MUAROBAINI ULIOKOMAA

    JamiiForums Tanzania Kuhusu hili la stahiki za watumishi wa umma, Rais wangu kuna watu wanakuzunguka

    Tutampa kura zetu zote 2020 kwani anatujali sana. Asante laisi wetu
  5. MUAROBAINI ULIOKOMAA

    JamiiForums Tanzania CHADEMA acheni ujinga wa Kujihami!!

    Mahakama ya mafisadi haina kesi QUOTE="Allen Kilewella, post: 18979794, member: 55849"]Ninaposema CHADEMA, hapa namaanisha viongozi wenye dhamana ya kuzungumza kwa niaba ya wanachama wenzao, kwa maana nyingine wao ndiyo chama na wanaposema wao chama huwa kinakuwa kimesema. CHADEMA kila mara...
  6. MUAROBAINI ULIOKOMAA

    JamiiForums Tanzania Hawa watu ni hatari kuliko hata magaidi wote duniani

    Acha ukada wa kijinga
  7. MUAROBAINI ULIOKOMAA

    JamiiForums Tanzania Kanali Lubinga: Nilijiunga CCM tokea wakati wa chama kimoja

    Watumishi wanaozuiliwa ni watumishi wote wa majeshi ya ulinzi na usalama, zimamoto, mahakama,usalama wa taifa, watumishi wa bunge, takukuru nk
  8. MUAROBAINI ULIOKOMAA

    JamiiForums Tanzania Ni lini serikali itaacha kutudanganya sisi watanzania?

    Nafikiri ni mpango wa Mungu wawe chachu ya mabadiliko ya kweli kwani wanapata vionjo halisi vya yanayozungumzwa
  9. MUAROBAINI ULIOKOMAA

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Mtoto wa Mulla ambaye ni jangili amuua mtu aliyemhisi kumchongea, ajeruhi wengine

    Anawafanyia kazi watz wanyonge na so kama wewe njaa inakusumbua na kutetea ukoloni mamboleo,shame
Back
Top Bottom