Recent content by MU-ARSENAL

  1. MU-ARSENAL

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mahari ni hiari au Lazima!

    Umeeleweka mkuu
  2. MU-ARSENAL

    JamiiForums Tanzania Njoo ujifunze kitu kuhusu Sayari ya Jutiter (Jupita)

    Naomba kujua kuhusu hizi density za sayar zinapatikanaje na tunapodema 1.321g/cm3 ikoje hii mkuu
  3. MU-ARSENAL

    JamiiForums Tanzania Maongezi vijana wa Tanzania; 96% ni pumba

    Watu kuzungumzia uchumi nk.. haimaanishi kwamba ndio watakuwana maisha mazuri.. Tatizo serikali imeeka VIPAUMBELE wapi na kweny nn ili uchumi wa nchi Ukue na kuongeza wigo mpana wa Ajira kwa hilo kundi kubwa la 98% ambalo unasema linaongea upuuzi tuu.. Kama serikali ime invest kweny Fitna...
  4. MU-ARSENAL

    JamiiForums Tanzania Nauza kiwanja kipo morogoro

    Kipo magole estate nn mana bei barid sana
  5. MU-ARSENAL

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania What makes a person boring? (Ni nini kinachofanya mtu awe boring?)

    Mazingira
  6. MU-ARSENAL

    JamiiForums Tanzania Utajiri wa gesi umepotelea wapi?

    Sasa iv tupo kwa NABII TITO mpaka wazir wa mambo ya ndan kamzungumzia daah Tanzania ni ya hovyo sana
  7. MU-ARSENAL

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi na CCM, Mwenyekiti wa UVCCM ana haki gani kufanya mikutano nchi nzima ila upinzani wao majimboni tu?

    Kila kitu tukimwachia mungu tuu never haki haitapatikana ni kupambana tuu
  8. MU-ARSENAL

    JamiiForums Tanzania RC Paul Makonda aahidi kuijengea nyumba familia ya Marehemu Athumani Hamis

    Bashite anachota tuu kwa matajir wa mjin kwa vitisho nyumba itajengwa bila yy kutoa senti
  9. MU-ARSENAL

    JamiiForums Tanzania Dkt Mlundwa: Zitto atofautishe Uchumi na Uhasibu

    Akili za LUMUMBA huaga hazijifichagi[emoji778]
  10. MU-ARSENAL

    JamiiForums Tanzania Dkt Mlundwa: Zitto atofautishe Uchumi na Uhasibu

    [emoji109] Umeeleweka mze baba
  11. MU-ARSENAL

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli atia grisi kwenye uchumi; Kutoa bilioni 200 kulipa madeni ya wafanyakazi na watoa huduma wa ndani

    Maneno haya haya kila cku.. tutalipa madeni mpaka uhakiki ukiisha.. cjui kwa wale watumish wamesha hakikiwa mara ngapi mpaka sasa ili walipwe madeni yao.. Mi nashauri kwa hali ilivyo sasa ni kufanya vitendo zaid na sio Longo longo kama hizi za kuwatamanisha watu kuwa wanalipwa au miyeyusho tuu...
  12. MU-ARSENAL

    JamiiForums Tanzania Nape Nnauye ufanye ulimi wako kuwa kiungo cha kujenga mshikamano katika chama na Serikali

    Atakuwa kakuelewa cc wasakatonge hatuna habar tunakimbizana na msalagambo wa kulainisha vyuma vilivo bana
  13. MU-ARSENAL

    JamiiForums Tanzania Kenya watatuacha zaidi. Tanzania hatuna plan

    Bado mzee unaonekana ni Die hard wa Lumumba.. Mleta mada kaandika vitu ambavyo viko wazi.. Mjinga huwezielewa.. endelea kusema uchumi unakuwa wakat bado una unga unga maisha[emoji83]
Back
Top Bottom