Recent content by mtz one

  1. mtz one

    JamiiForums Tanzania HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

    Naam unakuta mtu anatolewa TIA anapelekwa IFM! Hizi taasisi bosi wake ni katibu mkuu fedha so hii inawezekana kwa barua tu maana hawa watu wamepewa mamlaka ya kuhamisha watu ku balance ikama au kuboresha utendaji.
  2. mtz one

    JamiiForums Tanzania HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

    Transfer ya nje ya mfumo ni ule uhamisho wa katibu mkuu wa wizara yako au mkuu wa taasisi au idara yako kama ina operate nchi nzima. Hakuna uhamisho wa kawaida toka taasisi tofauti unaoenda nje ya mfumo.
  3. mtz one

    JamiiForums Tanzania HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

    Walikuajiri na hizo sifa nyingine!! Kama kwenye kada yako kutakua na uoungufu ukiondoka hawakubali unless uwe karibu na mkurugenzi akukunjulie nafsi! Hapo anayekukwamisha ni boss wako.
  4. mtz one

    JamiiForums Tanzania HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

    Katibu mkuu utumishi akikutoa mwisho wa siku upungufu wa ikama unakua mzigo wake!!
  5. mtz one

    JamiiForums Tanzania HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

    Katibu mkuu utumishi hakuchomoi!!
  6. mtz one

    JamiiForums Tanzania HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

    Kabisa! Nimeandika haya kama mzoefu niliyekaa kwenye utumishi! Mwajiri wako ana sauti kubwa sana kwenye maamuzi ya uhamisho wako!
  7. mtz one

    JamiiForums Tanzania HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

    Hapo kwenye ikama ndo uchawi ulipo!! Ikama huangaliwa unapotoka sio unapokwenda! Boss wako ni lazima athibitishe kuwa pengo lako lina mbadala ili ukiondoka asijeenda omba kibali utumishi kuajiri mtu wa kada yako!! Ndo yale unaona mtu kaputishiwa anakoenda lkn utumishi wanamliga chini! Ndo...
  8. mtz one

    JamiiForums Tanzania HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

    W Wewe ambaye hata kuthibitishwa kazini bado, tena mwalimu wa maths!! Kuhama sahau!! Utaliwa hela zako bure!
  9. mtz one

    JamiiForums Tanzania HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

    Umeandika nini na mimi nimeandika nini? Mkuu wa taasisi akikataa kwako inakuja rejected na ujumbe kwamba not recommended! Na ombi halifiki kwake bila kupita kwanza kwa HR!
  10. mtz one

    JamiiForums Tanzania HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

    Uhamisho kwa sasa ni 100% inafanyika kwenye mfumo, na utumishi wako fair sana. Kinachoangaliwa kwa upana ni unakotoka sio unakokwenda! Kuna watu hapa wameongea habari za Auto Accept wakidhani ni kigezo cha kukosa si kweli. Ili mfumo ukubali auto accept ni lazima HR apitishe kule unakoomba...
  11. mtz one

    JamiiForums Tanzania Dunia ipo wakati mmbaya ila itaharibika zaidi kama mrengo wa kushoto (Leftists) watakuwa na control kubwa katika jamii.

    Kasome tena tofauti ya mrengo wa kushoto na kulia....
  12. mtz one

    JamiiForums Tanzania Mkalama: Wanakijiji wamsomea Tundu Lissu kero zao Jukwaani

    Katika vitu chadema mnafeli ni hapo... umeshindwa ku attach link ya video?
  13. mtz one

    JamiiForums Tanzania Millennials Generation ( Kizazi cha miaka ya 2000)

    Kusoma sana au kuwa na akili havihusiani na inclination ya nafsi. Hata hawa wa 2000 wapo vere sana darasani.
Back
Top Bottom