Sikuwahi kujua kazi halisi ya Mkuu wa Mkoa na uwezo wake

Kwanza kamahujui, juamimi sio ccm.
Nasitaki hata kusikia huo upuuzi, kwasababu naona damage wanayo sababisha kwa maamuzi ya hovyo ambayo nikiyaorodhesha hapa naweza kutapikaa!.

Anza na bandari na ufujaji wa pesa za uma kwa matumizi ya anasa ununua wa
mav8 kwa wingi wakati wanajua shida zilizo jaa huku mitaani, ngoja niishie hapo.

Hataivyo ninaweza kuona mtumwenye nianjema angalau kwa kutamka nakuonyesha nia ya udhibiti.

Kama wewe huoni juhudi za mtu mmoja mmoja ndani ya ccm then wewe ni aidha muongo,mnafiki,ama hujui unatakanini.

Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
System inakaba koo, system ya ccm ni mbovu, juhudi ya mtu mmoja bado haitoshi, mi ni chadema ila huwa sishabikii vyama, nampima kila mtu na najua huyu anafaa, huyu hafai.

Kimsingi, tusitegee juhudi za mtu mmoja mmoja zitubebe, badala yake tuwe na sheria Kali ambazo ni lazima zifuat.... Anyway tuishie hapo

Hii nchi ngumu.
 
Makonda analitaka Jimbo la Arusha Mjini ,Hizo zote ni Fujo za Maandalizi ya kampeni,Ameona Lema wahuni wanamuelewa sana,Kwahiyo nayeye anacheza na akili zao wawe wana.
 
Wewe akili zako ziko matakoni kwani? Hivi unawaonaje watu wa Arusha? Yaani Makonda agombee Arusha na hao jamaa wampe kura?

Kwa taarifa yako Arusha haina mtu mjinga!!
 
Ahsante sana..ilikuwa na haja gani kuniuliza hilo swali lakwanza?
 
Arusha hata waosha magari mutaani wana akili!! Hata changu doa au dada poa wana akili. Huyo shoga mwambie akagombee Kolomije kwa washamba wenzie. Nyambaf
 
System inakaba koo, system ya ccm ni mbovu, juhudi ya mtu mmoja bado haitoshi, mi ni chadema ila huwa sishabikii vyama, nampima kila mtu na najua huyu anafaa, huyu hafai.

Kimsingi, tusitegee juhudi za mtu mmoja mmoja zitubebe, badala yake tuwe na sheria Kali ambazo ni lazima zifuat.... Anyway tuishie hapo

Hii nchi ngumu.
Wapo wenye nianjema ccm lakini wanazidiwa nguvu na wahuni.

Sisi tuwatie moyo wenye nianjema, wanaweza kufanya mabadiliko.

Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
 
Habari zenu bwana!.

Kifupi Mimi liwagu sikuwahi kujua kazi halisi ya mkuu wa mkoa na kwa mtazamo wangu sikuona haja sana ya kuwa na wakuu wa mkoa.

Lakini kwajinsi ninavyomuona mkuu wa mkoa wa Arusha P. C. Makonda anavyofanya kazi ya utumishi katika mazingira ambayo anaonyesha nguvu ya mkuu wa mkoa ilivyo katika kutumikia wananchi kwenye mkoa wake,inaanza kuleta maana.

Nijambo jema kuwa na rais anae penda watendaji wa aina ya Jeri Slaa, na Makonda.

Kuanzia maofisini mpaka mitaani, wabongo wasipo nyooshwa hawanyooki wenyewe.
Nimwendo wa dhuluma, wizi, ufisadi na dharau!.

Wakuu wa mikoa wengine vuteni soksi.

Actions speak louder than words.
Liwagu..... liwagu....koromije
 
Umesoma hadi darasa la ngapi?
 
Simple things hufurahisha tiny minds.
Kupiga picha na wadudu ndio uchapakazi. Shida ya makonda huwa anakuwa hekaheka nyingi ambazo huwa hazikamilishi.
mfano mara vijana wakusanyike awatafutie kazi, mara wanawake waliotelekezwa wakusanyike yani full hekaheka.
Siasa za Tanzania ni rahisi kwa mtu anayejua kucheza na media.
 
Angalau anaonyesha tofauti, hajifungii ofisini.
Hekaheka zake zinasaidia kukumbusha wengine kwamba ukuu wa mkoa ni kazi ya kuhudumia watu,na sio kujifungia ofisini, jamaa yupo site 24/7.

Wananchi tunataka kujua viongozi wetu wanachofanya, sio kufanya kazi kimyakimya, nandio maana wengine hatukujua kama mkuu wamkoa ni powerful parson kiasihiki.

Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
 
Habari zenu bwana!.

Kifupi Mimi liwagu sikuwahi kujua kazi halisi ya mkuu wa mkoa na kwa mtazamo wangu sikuona haja sana ya kuwa na wakuu wa mkoa.

Lakini kwajinsi ninavyomuona mkuu wa mkoa wa Arusha P. C. Makonda anavyofanya kazi ya utumishi katika mazingira ambayo anaonyesha nguvu ya mkuu wa mkoa ilivyo katika kutumikia wananchi kwenye mkoa wake,inaanza kuleta maana.

Nijambo jema kuwa na rais anae penda watendaji wa aina ya Jeri Slaa, na Makonda.

Kuanzia maofisini mpaka mitaani, wabongo wasipo nyooshwa hawanyooki wenyewe.
Nimwendo wa dhuluma, wizi, ufisadi na dharau!.

Wakuu wa mikoa wengine vuteni soksi.

Actions speak louder than words.
Ni vigumu mwenyewe ukiwa mpigaji mpenda rushwa na mbinafsi na usiyekua jasiri kuweza kufanya anavyofanya makonda. Utaishia kujidai unatetea utawala wa sheria na uhuru wa mahakama huku ukitambua wazi kuna dhuluma kubwa na hakuna haki. Haki inauzwa na kununuliwa kama bidhaa.
 
Back
Top Bottom