Ndugu wanabodi,
Salaam!
Nianze kwa kusema kwamba, nawapenda sana Wachina na naipenda sana China. Kwa historia, China si tu rafiki zetu; kwa Taifa letu la Tanzania na Bara zima la Afrika, China ni ndugu zetu. Tufikirie pia kama nchi, Tanzania tulivyoipambania China hiyo miaka ya 1970s huko UN...