Tunkamanin
JF-Expert Member
- Feb 27, 2015
- 955
- 866
Msikilize Nyerere anavyowapasha Chadema alijuaje kama hiki ni chama cha hovyo? vilevile yanayotokea CUF na ushauri wake kwenu ni vema ukasikilizwa.
Msikilize Nyerere anavyowapasha Chadema alijuaje kama hiki ni chama cha hovyo? vilevile yanayotokea CUF na ushauri wake kwenu ni vema ukasikilizwa.
ni kweli hata yale maandamano feki ya bongomfu yaliratibiwa na chademachadema wameshindwa dar kazi matusi. sera yao ni bashite. mumeona upuuzi mea jacob anafanya kazi kubwa ni kujaza mishavu tu. hawana jipya kazi kubwa kuhujumu kazi nzuri ya mkuu wa mkoa ndio jinsi ya kupambana na ccm.
Kazi nzuri ya mkuu wa mkoa inayohujumiwa ni ipi we Bashite mdogo?chadema wameshindwa dar kazi matusi. sera yao ni bashite. mumeona upuuzi mea jacob anafanya kazi kubwa ni kujaza mishavu tu. hawana jipya kazi kubwa kuhujumu kazi nzuri ya mkuu wa mkoa ndio jinsi ya kupambana na ccm.
CCM imekokota vijana wasiofikiria sawa sawa!Kama ungejipa ufahamu vizuri ungemwelewa ila kwa kuwa akili zako ni kama za kunguni bali hivyo hivyo.....
Mzee anasema Tz ni ya kila mtu na kila chama kinataka kufikia uchaguzi wa mwaka wa 2000 na tunatakiwa kujenga upinzani imara akiwa na maana ili tuwakadhi nchi,
Inaonekana hutuba hii ni ya kwenye uchaguzi wa mwaka 1995,Leo ni hii takrbani miaka 22 na yeye anasema tukifika mwaka 2000 tuwe na upinzani imara ili wakabidhiwe nchi
Wewe endelea kuwa ndondocha.
Well saidchadema wameshindwa dar kazi matusi. sera yao ni bashite. mumeona upuuzi mea jacob anafanya kazi kubwa ni kujaza mishavu tu. hawana jipya kazi kubwa kuhujumu kazi nzuri ya mkuu wa mkoa ndio jinsi ya kupambana na ccm.
Tatizo nyumbu akishaona nyasi akili haifanyi kazi.Yeye amekariri neno moja badala ya kusikiliza maneno yote.Hilo suala la kuwakabidhi nchi wapinzani liliongelewa kwa kipindi kile cha 1995 pia mwalimu hakuwa na maana ya kuwa wapinzani wasipewe nchi.Kipindi kile chadema ilikuwa bado changa ukilinganisha na sasa.So mleta uzi si muelewa bali ni mtu wa mihemko.Kama ungejipa ufahamu vizuri ungemwelewa ila kwa kuwa akili zako ni kama za kunguni bali hivyo hivyo.....
Mzee anasema Tz ni ya kila mtu na kila chama kinataka kufikia uchaguzi wa mwaka wa 2000 na tunatakiwa kujenga upinzani imara akiwa na maana ili tuwakadhi nchi,
Inaonekana hutuba hii ni ya kwenye uchaguzi wa mwaka 1995,Leo ni hii takrbani miaka 22 na yeye anasema tukifika mwaka 2000 tuwe na upinzani imara ili wakabidhiwe nchi
Wewe endelea kuwa ndondocha.
Lakini umeyasikia maneno kuntu kabisa toka kwa "nabii"!Hivi kweli kabisa CHADEMA ni hovyo kuliko ccm? Hivi kati ya CHADEMA na ccm ni chama gani kati ya hivyo viwili Mwalimu RIP alikiblast hasa?
Tuishi na uhalisia hiki ni Kizazi cha fikra yakinifu na si uzandiki ushenzi na ubabe
Ila kaitaja chadema sio nccr, kubali tu hapa hamna namna, na pia kasema chama hakina sera, ni matusi tu na kula ruzuku, maneno ya 1995 ila tunayaona leo chadema!Halafu hiyo 1995, Chadema kilikuwa bado chama kichanga. NCCR ndiyo walikuwa wapinzani wakubwa kwa CCM. Kwa Chadema aliwapa credit kubwa. Hii nchi ni yetu sote.
Aliposema chama hakina sera bali matusi ulimuelewa?Nimemwelewa vema sana mzee wetu wa busara hasa pale aliposema "Nchi hii ni yetu sote" maneno kuntu sana...... Hii miccm iliyobaki inadhani nchi hii ni Mali ya miccm.... Alitaka waungane kiwe chama kimoja chenye nguvu ili kipewe nchi..... Huyu mzee Mungu ampumzishe kwa amani....
Msikilize Nyerere anavyowapasha Chadema alijuaje kama hiki ni chama cha hovyo? vilevile yanayotokea CUF na ushauri wake kwenu ni vema ukasikilizwa.