Recent content by mtwa kilyenyi

  1. mtwa kilyenyi

    Mtwara na Lindi wahoji siri ya Lowassa kupitia upya Mikataba ya Gesi

    Wanahoji hayo kwa kukosa ukweli coz ccm wameficha ukweli mikataba hyo ya gas haina manufaA kwa watanzania Wa kawaida zaid ya makampun makubwa ya kimarekan na kichina pamoja na waliopisha mikataba hyo na familia,tusubiri siku tanesco na mbuga za wanyama znapobinafsishwa kwa wamarekan
  2. mtwa kilyenyi

    Mtwara na Lindi wahoji siri ya Lowassa kupitia upya Mikataba ya Gesi

    Danganya toto, hyo mikataba INA mapungufu makubwa sana ndo maana wabunge wa upinzani walisusia kushiriki uozo Wa mikataba hyo ccm mkaipitisha kibabe,low as a syo ccm tena na atafanya makubwa ndan ya ukawa,
  3. mtwa kilyenyi

    Hizi TV zimegeuka kuwa mabango ya kampeni za mgombea mmoja!

    Wanajikomba na kujipendeke chichiem
  4. mtwa kilyenyi

    GE2015 Dr. John Pombe Magufuli anafaa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania

    Hafai kwa sababu ya maamuzi yake ya kukurupuka yalolitia hasara taifa,fisadi kwa mujibu Wa report ya cag,kauza nyumba za taifa,mikataba mibavu ya barabara,barabara chin ya kiwango,ubabe ktk ndoa na siasa,anatetea mambo ya kijinga kama safari za rais,hasikiliz ushauri,amekaa ktk chama fisad
  5. mtwa kilyenyi

    Magufuli hafai kuwa Rais: Siyo msafi na hajawahi kuwa msafi

    Fisi ktk ngozi ya mwanakondoo
  6. mtwa kilyenyi

    Ripoti ya Twaweza ya #SautiZaWananchi: Magufuli na CCM wang'ara dhidi ya wapinzani - Sept 22, 2015

    Hatudanganyiki na tafit uchwara za watu wliolazimishwA na ccm wapotoshe wananchi,Mambo yote hadharan tar 25,mbivu na mbichi zote kuonekana
  7. mtwa kilyenyi

    Halima Mdee akimbia mahojiano Star TV

    Ametumia busara sana kutohudhuria mambo ya kijinga yanaratibiwa na nyinyiem ili kujipima uwezo wao
  8. mtwa kilyenyi

    NMB Tanzania Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Kwann nmb hawapo serious na wepesi ktk kuhudumia wateja?kwann mkopo uchukue wiki mbili tatu au zaid kutolewa?_its much boring doing business with nmb
  9. mtwa kilyenyi

    Makala: Magufuli hafanani na mabadiliko!!

    Watanzania ondoen mfumo huu kandamiz kwa kumpigia kura lowasa na ukawa kwa ngaz zote
  10. mtwa kilyenyi

    Kamanda Lowassa ndani ya Singida, Afanya mkutano Manyoni

    Kwa kwa hali yoyote aliyonayo tutamchagua tu hata angekuwa mahututi
  11. mtwa kilyenyi

    Serikali ya CCM na mgombea urais wa CCM wavunja sheria za usajili wa magari

    Hata waandike kila akina ya mipasho 25 wataondoka tu
  12. mtwa kilyenyi

    Ikulu yakanusha Mshahara wa Rais Kikwete kufika dola 192,000

    Kwakutotaja figure halisi hawatakiwi kukemea na kupiga taarifa za watafit,,
Back
Top Bottom