Recent content by MTUWAWATU2013

  1. M

    Vibaka wanavyoitesa mitaa ya Nyakasa, Ilemela mkoani Mwanza

    Mbunge Hakuna Ilemela, Kama Watu wanataifishwa Nyumba na ardhi na amekaa kimya na taarifa anazo Leo atashughulika na vibaka???? Labda kwa kuwa kuna chaguzi za serikali ya mtaa... Sent using Jamii Forums mobile app
  2. M

    Gaudensia Kabaka aeleza sababu za kuzuia Ujenzi wa Msikiti UDOM na kuhamisha wafanyakazi wa hapo

    Effect yake ilikua chuki, hata chaguzi za Chuo kama hakuna mgombea wa kiislam hawapigi kura..... Sina mamlaka ningefukuza kabisa kunguni wa tabia hizo Sent using Jamii Forums mobile app
  3. M

    Uonevu dhidi ya Waislam UDOM: Msikiti wavunjwa, wafanyakazi wanataaluma 11 wahamishwa

    Hakuna tatizo la kanisa wala msikiti, tatizo la Udom ni harakati za kidini msikitini sio swala wala uislam...... Hiki kitu kipo na nimekishuhudia nikisoma hapo...... Sent using Jamii Forums mobile app
  4. M

    Gaudensia Kabaka aeleza sababu za kuzuia Ujenzi wa Msikiti UDOM na kuhamisha wafanyakazi wa hapo

    Í speak from experience, sina chuki na mtu wala uislamu, waislam wa Udom walikua na harakati za udini sanaaaaa, ivi inawezekanaje walimu na wanafunzi waandae kikao Chuo kizima na mashehe wa kiharakati wafuasi wa shehe ponda katika ukumbi wa Chuo, College ya Education wakijadili MFUMO KRISTU wa...
  5. M

    Uonevu dhidi ya Waislam UDOM: Msikiti wavunjwa, wafanyakazi wanataaluma 11 wahamishwa

    Huyo Dr masoud ndio alikuaga anatoa majibu ya mitihani na possibe angles za mitihani, msikitini 2009-2012 mpuuzi sana, mweusi kama roho yake.... Hajaonewa Sent using Jamii Forums mobile app
  6. M

    Gaudensia Kabaka aeleza sababu za kuzuia Ujenzi wa Msikiti UDOM na kuhamisha wafanyakazi wa hapo

    Hata supplimentary na disco nyingi hazikua za haki..... Ilifikia hatua wanajua possible question za maswali ya mitihani inayofundishwa na lectuter wa kiislam, hali ilikua mbaya sana, was there 2014 Sent using Jamii Forums mobile app
  7. M

    Gaudensia Kabaka aeleza sababu za kuzuia Ujenzi wa Msikiti UDOM na kuhamisha wafanyakazi wa hapo

    Ud ilijengwa ikiwa ni College ya EastAfrica university, wakoloni walikua wamishionari wa kikristo..... Kanisa hilo halijawahi kua Nyumba ya harakati za kidini bali sala, kwa case ya Udom, ilifikia hatua binti wa kiislamu akiwa na Rafiki mkristo anaitwa msikitini kujadiliwa, discussion za masomo...
  8. M

    Gaudensia Kabaka aeleza sababu za kuzuia Ujenzi wa Msikiti UDOM na kuhamisha wafanyakazi wa hapo

    Tatizo waislam ni wadini sana wa waziwazi..... Heri udini wa kikristo sio wa waziwazi, mimi nimesoma hapo nawajua vyema Sent using Jamii Forums mobile app
  9. M

    Uonevu dhidi ya Waislam UDOM: Msikiti wavunjwa, wafanyakazi wanataaluma 11 wahamishwa

    Waislam wana mikakati ya kijinga, Roma hata wafanye nini mikakati yao ni ngumu kuielewa, Ila waislamu pale UDOM walijionesha kabisa kua wanabebwa, kuanzia wanafunzi adi watawala na waalimu...... Wabaguzi wa live live..... Akili ndogo Sent using Jamii Forums mobile app
  10. M

    Uonevu dhidi ya Waislam UDOM: Msikiti wavunjwa, wafanyakazi wanataaluma 11 wahamishwa

    Nimesoma Udom 2010-2014 hiki Chuo kinaudini sana tena usilamu wa kimkakati ilifika sehemu tuliamini sio cha serikali na kuamini kuna mkono wa gadaf unaotoa mashirti ya kidini Sent using Jamii Forums mobile app
  11. M

    Uonevu dhidi ya Waislam UDOM: Msikiti wavunjwa, wafanyakazi wanataaluma 11 wahamishwa

    Prof idris kikula, alikua mdini sana kiasi Kwamba alikua anaendesha harakati za kidini kwa kuruhusu mashekh kuitisha vikao na wanafunzi waislam Chuo kizima Sent using Jamii Forums mobile app
  12. M

    Uraia wa Zitto Kabwe sasa kuamuliwa Mahakamani

    Augustino matefu ni mtu makini sana, ninamfahamu, HOJA YAKE ITAKUA NA MASHIKO Sent using Jamii Forums mobile app
  13. M

    Kuelekea uchaguzi 2020: Serikali yasalimu amri kwa waliojenga makazi holela, sasa kurasimisha makazi hayo

    Lukuvi anaongea tofauti sana na watendaji Wake, huko Mwanza Ilemela tena jimbo la naibu Wake, Mkurugenzi wa halmashauri ANATAIFISHA NYUMBA ZA MASIKINI na kudai ni Mali ya halmashauri tena kwa ubabe na serikali iko kimya na naibu Waziri hasemi lolote kwa MKURUGENZI Sent using Jamii Forums...
Back
Top Bottom