Recent content by MTUSIASA

  1. MTUSIASA

    JamiiForums Tanzania Mrejesho: Hivi Mungu aliweka nini kwenye ubongo wa mwanamke?

    Hawezi sababu hamuongei
  2. MTUSIASA

    JamiiForums Tanzania Mrejesho: Hivi Mungu aliweka nini kwenye ubongo wa mwanamke?

    Baba Asante sana.....nimejifunza sana hapa. Kitu kizuri sana hiki. Naanza nayo leo leo
  3. MTUSIASA

    JamiiForums Tanzania Polisi isigeuke kuwa kundi la kutesa Raia

    [emoji2][emoji2] tofautisha mtu kulalamika na kusema ukweli. Kwa mtizamo wako 1-Ni Sahihi polisi kumnyima dhamana raia? 2- Ni sahihi polisi kumkamata mtu bila kosa? 3- Ni sahihi polisi kujichukulia kazi za mahakama?
  4. MTUSIASA

    JamiiForums Tanzania Edward Lowassa uso kwa Uso na Rais Magufuli kwenye Jubilei ya ndoa ya Rais Mstaafu Benjamin Mkapa

    Sio kila mtu anacheza utoto wa kinderggaten school
  5. MTUSIASA

    JamiiForums Tanzania Polisi isigeuke kuwa kundi la kutesa Raia

    Polisi wanatumwa na baadhi ya viongozi ambao tupo na wao. Nadhani tuanze kuwalaumu viongozi wa kiserikali tukianza na mkuu wa usalama au ulinzi wa mkoa ambaye ni mkuu wa mkoa. Then baada ya hapo tuje kwa mkuu wa Wilaya. Ni upumbavu uliopitiliza endapo mtazidi kufanya aina ya tabia mnayoonesha...
  6. MTUSIASA

    JamiiForums Tanzania Waziri mkuu amwakilisha Rais Magufuli mkutano wa wakuu wa nchi

    [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
  7. MTUSIASA

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Mwigulu anahusika na mauaji ya polisi CRDB Mbande?

    Hili lako linamuhitaji Msajili wa vyama na sio kwa kuandika tu bali uende pia mahakamani.
  8. MTUSIASA

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Mwigulu anahusika na mauaji ya polisi CRDB Mbande?

    Ujue maswala kama haya nendeni mahakamani mkaonane nae. Hapa hamtapata muafaka
  9. MTUSIASA

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Mwigulu anahusika na mauaji ya polisi CRDB Mbande?

    Kama unaijua katiba vizuri nenda kaonane nae pale mahakamani.
  10. MTUSIASA

    JamiiForums Tanzania Wanawake huwa mnapatwaga na ibilisi gani?

    Hii ndo mbaya zaidi ataumia zaidi na zaidi maana anaweza kuwa forced na family lakini kwako ikawa balaa. Akubali tu yaliyotokea maisha yaendelee na yeye atampata anaye mpenda kweli.
  11. MTUSIASA

    JamiiForums Tanzania Ni sahihi kulipa service charge wakati wa mgawo?

    Inabidi tumpe taarifa Millard Ayo, atusaidie kuifikisha mahala. Tena TANESCO walitakiwa walipe fidia
  12. MTUSIASA

    JamiiForums Tanzania CCM wanatamani kubadili rangi za chama

    Ni kweli kabisa, hata muda huu niko hapa Lumumba kuna mkaka flani ni driver wao, Yeye kakataa kupokea ya kijani chao na kachukua ya rangi ya Ugoro
  13. MTUSIASA

    JamiiForums Tanzania Nana Fisadi Kati Ya Hawa Mafahali Wawili?

    Dr Mihogooo
  14. MTUSIASA

    JamiiForums Tanzania Slaa amwangukia Mchungaji Gwajima

    hahahahahahahahahah
  15. MTUSIASA

    JamiiForums Tanzania Vyombo vya Ulinzi Tanzania wamuaga rasmi Rais Kikwete (Amiri Jeshi Mkuu) Uwanja wa Taifa

    Watu mkifanikiwa mnafanya dharau na kukumbatia dharau hembu kama unaweza weka picha tuone utakuwa wapi baada ya miaka 4
Back
Top Bottom