Jamani mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 27 hivi karibuni nimekumbwa na tatizo la kutokwa na michubuko sehemu ya juu ya uume hasa mule ambamo nilishonwa baada ya kutahiliwa .
Hata nikivaa kondom bado hiyo hali inatokea, mwenye utaalam na hili tatizo anisaidie wadau.
Nimetahiliwa miaka 14...
Mimi ni msichana niliyezaliwa mkoa wa Morogoro nipo Iringa Chuo nasoma Mambo ya Biasha, kwa mwenye ndugu, jamaa hata rafiki au binafsi anayemiliki kampuni yoyote ya biashara mkoa wa Morogoro anisaidie hata namba za mmliki au jina la kampuni ili niweze kuomba kufanya fild.
Ise hv ninapotoa comment npo ndan ya mgugu mwambie akaribie sn huyo mtoto ukwel n shule nzr kimazingra na hata wanafunzi wake weng n wazur kitaaluma n tofauti kabsa shule za kata inategemea na akili ya mtoto mwenyewe ucogope juu ya kashfa za uchawi n imani 2 ya m2 kama ndivyo uchawi upo kote...
2mia akili ww ucongee 2 kama unajifunza kuongea sio wote wanafel kwa kutokusome huwez jua ni magumu yepi yaliyotokea.bado hujafika apo ulipo na wala hujafaulu maisha roho mbaya tu.
Wapendwa kuna tatizo ambalo linanifanya nikose aman"nikila ninapotoka kufanya mapenzi na mwenza wangu najiskia maumivu na kupata michubuko sehemu ya mbele ya uume hasa pale nlipokuwa nimeshonwa baada ya kutailiwa na nilitailiwa miaka 20iliyopita nn tatizo wataalamu wangu?.
Wapendwa kuna tatizo ambalo linanifanya nikose aman"nikila ninapoka kufanya mapenzi na mwenza wangu najiskia maumivu na kupata michubuko sehemu ya mbele ya uume hasa pale nlipokuwa nimeshonwa baada ya kutailiwa na nilitailiwa miaka 20iliyopita nn tatizo wataalamu wangu?.
Kuna uvumi kwamba baadhi ya miti inaweza kukuza uume hasa baada ya kujichanja na kupaka maji/utomvu wake(mfano kuna mti unaitwa muegea)je ni kweli?naomba mawazo yenu na ukweli juu ya hili.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.