Nahitaji surveyors wenye ujuzi unaojitosheleza. Awe ana uwezo wa kutumia mashine za levelling, Total Station n.k. Pia awe mjuzi katika kutumia AutoCAD.
Nafasi hizi si za kujifunza. Nahitaji anayejua na mwenye weledi wa kufanya kazi na sio anayekuja kujifunza kazi.
Eneo la kazi: MORONGA-MAKETE...
Kampuni ya CRSG Mradi wa barabara Moronga-Makete 53.5km inawatangazia nafasi za kazi zifuatazo:
Surveyor-Nafasi (2): 1 msichana, 1 mvulana.
Fresh from School (Diploma, Degree) mtapewa kipaumbele na muombaji ni lazima awe anaweza kutumia AutoCAD software kwa ajili ya kuchora michoro mbalimbali...
Huu ni mchongo wa kazi Mjomba, sio training.
Main issue hapa ni Kazi, hiyo training ni kwa sababu tu kazi zao hazifundishwi na vyuo vya kawaida ndio maana lazima upitie training yao
You can try if you've required qualifications. Tanzania ya sasa ni kuingia mwili mzima, sio kichwa ndani miguu nje.
TCAA is looking for energetic young Tanzanians, which are medically fit to train in Air Ttraffic Control. QUALIFICATIONS REQUIREMENT:
1. Holder's of B.Sc. Degree Majoring in Maths and Physics(GPA 3.0+)
2. Passes at Secondary Education level in English and Geography at grade C or above.
3...
Be specific and direct!
Kampuni yenu inaitwaje na inaoperate mikoa gani(coverage)?
Inatoa bima za afya hasa ktk nini? (package zake)
Commision mnalipaje?
Kuificha kampuni ndio shida inapoanzia, kampuni haitangaziki na sales pia inakua ngumu.
Kuitangaza kampuni angalau hata mauzo yanakua...
NCAA imeanza kuwatumia sms kuwataarifu kufika kazini watu wote waliofanikiwa kupita katika usaili ulioanza tarehe 06 Februari, 2018.
Hivyo hauna budi kujiandaa kisaikolojia kwa kutambua kukosa na kupata vyote vipo(it's a probability)
Tarehe ya kuripoti kazin imeainishwa kuwa 05 March.
Hamjambo na Habari za wakati huu!?
Kama kuna mmiliki wa duka la dawa na anahitaji muuzaji mwenye uzoefu wa zaidi ya miaka miwili na cheti cha ADDO, tafadhali asisite kuandika namba na mahali pa kazi hapo chini.
Yeye anapatikana Tabata Matumbi Dar Es salaam na ni mtu anayejiheshimu na kuheshimu...
Soma attachments alizoweka, usijibu bila ya ushahidi. Yeye ana ushahid je wewe?
Hilo limekua likijitokeza sana hasa ktk taasisi nyeti. Si hvo tu hata katibu wake ktk hotuba ake kwa waziri alikir kuwepo rushwa na kujuana. Na njia inayotumika sasa ni kuwaingiza ktk interview ili waonekane...
Kuna watu wa kada fulani (MOI) wanatakiwa kufanya usaili wa mahojiano leo tarehe 18/10 pale PSRS. Majina yaliyoletwa kwao ili waitwe kuingia ktk usaili yote yanatofautiana na watu waliokwenda kufanya usaili(sio wao) isipokuwa 9 tu. Walioitwa ni 49 (Wenye ufaulu >=50 na waliofika mpaka sasa ni...
Jamani hebu tuwe waelewa, si kila anaelisemea jambo fulani basi anahusika moja kwa moja na jambo hilo.
Mimi sikuwa miongoni mwa wasailiwa na wala sikuwa ktk kada yoyote pale. Lakn pale napoona kuna tatizo, lazima nilisemee. Siangalii kuwa nani kachaguliwa na nani kaachwa bali naangalia mchakato...
Niliandika kuhusu figisu za utumishi lakn watu wafinyu wa mawazo wakanitupia maneno kuwa mimi ni miongoni mwa watu waliofail mchujo, La hasha! Mi si miongoni mwao na sihusiki kabisa na usaili ulofanywa tarehe 14. Lakn kuna Mdogoa angu alifanya na miongon mwa watu waliopata alama za juu kabisa...
Kama tunaweza kusaidiana kupitia namba mojamoja ktk list ya mwanzo na ya sasa yaweza kuwa bora zaidi. Lakn kama ilitumika computer sidhan kama ni rahisi kukosea namba labda tu kwa anaengiza manually.
Na kwa taarifa nilonayo, watu wengi hawakufanya usaili MNH kwa vigezo tajwa hapo juu pamoja na...
Walioitwa katika usaili wa Health Attendant Muhimbili pale DUCE walikuwa 275.
Baada ya wengine wengi kupunguzwa kwa kigezo cha Kiswahili na English naamini wangekua chini ya 275 na hata 100-200 kutokana na watu waliozuiliwa nje na wengine kutokufika. Lakini katika majibu ya mchujo inaonekana...
Yes ndo wale mkuu!
Hivi hawakupitia taarifa na vyeti vya hawa waombaji kujua kama wana sifa stahiki? Kama kulitokea mabadiliko ya vigezo baada ya kuwachagua basi walipaswa kuwapa taarifa mapema. Wengine wana kama siku tatu au nne wamefika Dar. Lakin walichowafanyia si sahihi kabisa and it is...
Yes! Hili si sawa kabisa. Na hili limejitokeza dhahiri, sasa sijui yale ambayo hayajitokezi dhahiri. Anasimama mtu kuwakebehi, Hivi nyinyi mnafeli hadi Kiswahili mtaongeaje na wagonjwa? Aliemwambia anaefeli Kiswahili hawez kuongea nani?
Waache ubabaishaji! Madaktari, maengeneer na Manesi wangap...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.