Bima jamii
Member
- Jul 22, 2015
- 7
- 6
Hi
Tunatafuta vijana watatu wanaojiamini, kuuza bidhaa za bima ya afya hapa Tanzania. Tupo jengo la makumbusho complex ghorofa ya tatu.
Wawe na sifa zifuatazo.
- Kidato cha nne na kuendelea
- Mtanashati
- Ana uwezo wa kujieleza