Mtunda Lubaragula
Member
- Jan 4, 2014
- 31
- 11
Kuna watu wa kada fulani (MOI) wanatakiwa kufanya usaili wa mahojiano leo tarehe 18/10 pale PSRS. Majina yaliyoletwa kwao ili waitwe kuingia ktk usaili yote yanatofautiana na watu waliokwenda kufanya usaili(sio wao) isipokuwa 9 tu. Walioitwa ni 49 (Wenye ufaulu >=50 na waliofika mpaka sasa ni 47. Lakin 38 wote hawamo ktk list ya wanaotakiwa kusailiwa wakati matokeo yao ya written yanaonesha wawefanya vizuri na wamekua selected.
Je, imetokea vipi mpaka hawa waliofaulu majina yao yasiwemo? na kwa nin uzembe huu uendelee kutokea? Wasaili wanasema hawana maamuz yeyote mpaka wapate maelekezo kwa bosi. We bosi uko makin kweli au ndo figisu?