Recent content by Mtumwa huru

  1. Mtumwa huru

    JamiiForums Tanzania KERO Mfumo wa matokeo ya Wanafunzi Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA) una shida na hakuna anayetatua

    Inafika mahali huelew ukalalanike wapi maana umemaliza kila mtu na hupati kusaidiwa inauma sana milioni 4 ya ada
  2. Mtumwa huru

    JamiiForums Tanzania KERO Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA) boresheni huduma zenu za online, zinatukwaza Wanafunzi

    Hiki chuo kina ujinga mwingi sana , Mimi siwezi kumshauri mtu asome Masters hapo unafanya mitihan vizuri matokeo yako kuyapata ni dana dana za kutosha utafuatilia zaidi ya miezi 3 na hupati muafaka unamua kuachana nao tu.....kuzalimisha ulipe ada kabla ya kuingia kwenye mitihan hilo wameweza...
  3. Mtumwa huru

    JamiiForums Tanzania Najuta! Madada Poa wa Morogoro sio poa kabisa

    Kwahiyo zile 40M umepigwa mzeee?
  4. Mtumwa huru

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri wakulima wenzangu.

    Heka moja inakadiriwa kutoa kilo 300- 500 kama kuna usimamizi mzuri
  5. Mtumwa huru

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri wakulima wenzangu.

    Mkuu gharama zinatofautiana kulingana na upatikanaji wa rasilimali na eneo ambalo mtu amaeamua kulima heka moja kwa laki 2 ni kadirio dogo sana assumption kukodi shamba heka moja ni 50,000/=, kusafisha likae tayar kwa kulima (kukatia mafukutu) 30000, dawa za kuua magugu na upuliziaji 40000...
  6. Mtumwa huru

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri wakulima wenzangu.

    Kwa wastani heka moja mpaka unavuna ni laki 5
  7. Mtumwa huru

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nina 30,000 hapa, nahitaji kuanza biashara yoyote ile sasa hivi. Niko DSM

    Uza uji maeneo ya sokoni asubuhi na jioni , location inategemea na ukaribu ulipo manzese, tandika , mabibo, k.koo n.k utakuwa na uhakika wa kufunga 10k -15k kwa siku kama faida , utakuja kunishukuru baadae!
  8. Mtumwa huru

    JamiiForums Tanzania Hakuna mwanamke mwenye Mwanaume mmoja kwa sasa

    Mwalimu shikamooo
  9. Mtumwa huru

    JamiiForums Tanzania Natafuta mpenzi (ME)

    Summary ya maelezo yako "unatafuta mtu wa kukuhudumia" maneno mengi ya nini?
  10. Mtumwa huru

    JamiiForums Tanzania Mvua hizi zina utamu wake jamani!

    Tusingeumbwa kwa pair mkuu
  11. Mtumwa huru

    JamiiForums Tanzania Mvua hizi zina utamu wake jamani!

    Hakunaga Raha ya kuwa single banah usitupangee mkuu
  12. Mtumwa huru

    JamiiForums Tanzania Afadhali kuolewa na Muislamu kuliko Mkristo

    Ha ha ha ha na wew tutajuane kama ni Ke banah ..
  13. Mtumwa huru

    JamiiForums Tanzania Biashara gani itanitoa kimaisha niepukane na umasikini?

    Ushauri wangu ingia shamba mkuu , kawekeshe mahindi huko kwa wakulima kabla ya mavuno gunia Moja la mahindi kwa Sasa ni elfu 40 -50 kwa maeneo mengi baadae wakivuna mwezi wa 6 hiv ukihifadhi kidogo tu unauweza kuuza gunia Moja minimum kwa elfu 70 - 100k , so Kuna uwezekano wa kupata faida kwa...
  14. Mtumwa huru

    JamiiForums Tanzania Biashara gani itanitoa kimaisha niepukane na umasikini?

    Inatosha na unabaki na akiba
  15. Mtumwa huru

    JamiiForums Tanzania Mvua hizi zina utamu wake jamani!

    Kwan utatangaza Sasa? 😂😂😂
Back
Top Bottom