Recent content by Mtumishi wa Umma

  1. M

    JamiiForums Tanzania Nataka kuacha kazi .

    Sina Kijiji cha kupeleka wanangu kwani walonilea walishafariki Walobak wote wananiangalia mie ambao ndo warithi wa walezi wangu,nyumba nzima walishapangisha hata chumba nilichokuwa naishi mimi walishapangisha Wamebak watoto za walez wangu marehemu na ndio warithi ,wakagawana vyumba na...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Nataka kuacha kazi .

    Kwani bank wanachukua bare land sikuhizi?ngoja nitaulizia wadau
  3. M

    JamiiForums Tanzania Nataka kuacha kazi .

    Sijamlaumu Kwa lolote Wala sihitaj kumwadhibu Kwa lolote,atajijua na Mungu wake mie nilieleza situation ya mzaz mwenzangu ili kuwaweka wachangiaji aware wasijeuliza baba wa watoto yukwapi ama anachangia nini Uzi huu ni maalumu kwaajil yangu,wanangu na changamoto za kazi ninazopitia, that's the...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Nataka kuacha kazi .

    Sawa nimekubali but mbona umekomalia thread yangu?hakuna thread zingine ukoment? Isitoshe sijataka univumilie wala sijafungua thread ya mwanaume kunivumilia Kama nakukera tafuta nyuzi zingine hate msiba wa Mzee Mengi ukachangie,huyu mbishi mwache huwezi mfanya utakavyo wewe kwani yeye ni raia...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Nataka kuacha kazi .

    Ni ya serikali Tatizo nilikuwa najaribu kufanya hivyo,sema mkuu wa idara mnoko kila leo akawa ananisema kwenye vikao na kutishia kuniripot so nikaacha
  6. M

    JamiiForums Tanzania Nataka kuacha kazi .

    Naelewa ila sitaki kujiongezea mizigo tu kwasasa
  7. M

    JamiiForums Tanzania Nataka kuacha kazi .

    Shukran ila sihitaji mwenza kwasasa Sitaki kuongeza mzigo wa majukumu ya watoto ilhal hawa wawil bado sijakaa sawa
  8. M

    JamiiForums Tanzania Nataka kuacha kazi .

    Shukran,ila siwez sema viko wapi manake nishaambiwa nafanya udalali Ntazingatia ushauri wako wa kiroho
  9. M

    JamiiForums Tanzania Nataka kuacha kazi .

    Kampuni ni ya ishu nilosomea na nimeajiriwa nazo ktk fani hiyohiyo
  10. M

    JamiiForums Tanzania Nataka kuacha kazi .

    Ok shukrani anyway
  11. M

    JamiiForums Tanzania Nataka kuacha kazi .

    Doh hahahah Mara useme udalali was viwanja,Mara sishauriki,Mara mjuaji,sijui jamaa nilishindwana naye,btw yeye si hoja ya mada yangu,Nina miaka sijawah kula hata Senti yake so he is not an issue here inshort haexist he was just a sperm donor Hapa natafuta mbinu ya kusurvive na wanangu Isitoshe...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Nataka kuacha kazi .

    Ahhh Sina muda naye Wajua tatizo nilipoanza naye yeye alikuwa Hana kitu,nilimfadhil kwa mengi hadi kusimama, that's y hata nikimwambia nimekwama haamini anaona Kama nataka kumchuna Isitoshe kupeleka wanangu ustawi ni kuwadhalilisha na watakuja mchukia baba yao hapo baadae wakijakua halafu...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Nataka kuacha kazi .

    Thanks umeongea Mambo mazuri sana Waswahili wanasema chungu lakini dawa Wacha niufatishe ushauri wako Pia nijipange kabla ya kuondoka,ila nnakuahidi hadi tunaanza 2021 panapo majaliwa,nitakuwa nishaacha kazi serikalini
  14. M

    JamiiForums Tanzania Nataka kuacha kazi .

    Sitaki mume nataka nipate kipato Cha kujisimamia na wanangu tu baassi
  15. M

    JamiiForums Tanzania Nataka kuacha kazi .

    Ngoja nikitafute
Back
Top Bottom