2 Samweli 2:12 , Maana wewe ulifanya jambo lile kwa siri; bali mimi nitalifanya jambo hili mbele ya Israeli wote na mbele ya jua.
Mungu hadhihakiwi atawafichua tu hawa wahuni wote.
UMUHIMU WA KUJIWEKA TAYARI
Mahubiri ya Neno la Uzima - Na Mtumishi wa Mungu Askofu Mkuu Zachary Kakobe
Tovuti : www.bishopzacharykakobe.org
Facebook : www.facebook.com/bishopkakobeministries
Youtube : www.youtube.com/user/bishopkakobe
SOMO: UMUHIMU WA KUJIWEKA TAYARI
Leo, tunajifunza...
Somo: Jehanum ya Moto ni wapi na Ku​koje?
Miaka ipatayo thelathini iliyopita nilikuwa nimezama sana katika dhambi. Nikiwa katika lindi hilo la dhambi, sikutaka kusikia chochote kwa mtu yeyote aliyenieleza kwamba niache dhambi, na eti niokoke. Niliwaona watu wanaohubiri mambo ya kuokoka...
JEHANAMUYA MOTO NI WAPI NA KUKOJE
Miakailiyopita, nilikuwa nimezama sana katika dhambi. Nilipokuwakatika lindi hilo la dhambi, sikutaka kusikia chochote kwa mtu yeyotealiyenieleza kwamba niache dhambi, na eti niokoke. Niliwaona watuwanaohubiri mambo ya kuokoka, wameshindwa maisha...
Ndugu acha uongo wa mchana kweupe, Mtumishi wa Mungu Askofu Kakobe mara nyingi amesema sana kuwa yeye ni mtoto wa kiroho wa Mtumishi wa Mungu Askofu Kulola. Mara kadhaa Askofu Kulola ameshaenda katika kanisa analolichunga Askofu Kakobe MWenge, moja kati ya hizo safari, Askofu Kakobe na...
Ndugu zangu tusidanganyike tunahitaji kuandaa maisha yetu wakati tuko hai na sio kusubiri sala za watu wakati tayari tumeshakufa, baada ya kufa kinachofuata ni HUKUMU (Waebrania 9:27) tu,hakuna sala yoyote itakayotusaidia baada ya kufa, kama tumekufa katika dhambi . 1 Wakorintho 6:9 ...
Mwendakulima, ingekuwa vizuri na wewe pia ukaenda ili iwe rahisi na wewe pia kuripoti na kujionea kwa macho yako, ili ijulikane ukweli ni upi na uongo ni upi , badala ya kusikia tena kwa watu wengine. kathibitishe mwenyewe. halafu uje na taarifa hapa jamvini
Ndugu yangu umeuliza swali na umejibiwa na evidences halafu, tatizo liko wapi au kuwa muumini wa kanisa ambalo mtumishi wa Mungu anahubiri watu kuacha dhambi imekuwa kosa? hii inadhihirisha ni roho ya ibilisi inayotenda kazi ndani yako, Kama Bwana Yesu alivyosema pale msalabani Mungu akusamehe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.